Maskini furahini na mshukuru umaskini wenu duniani kwani ni baraka

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi!

Nawaambieni ukweli kabisa. Kama wewe ni maskini ama una hali mbaya kimaisha usihuzunike, usilie, usilaumu, usilalamike na usimlaani yoyote.

Bali furahi tembea kifua mbele jivunie umaskini wako kwani ni wa muda tu.

Kwasababu baada ya kifo maskini wote watakuwa matajiri milele. Wee fikiria tu milele you will be well off.

Cha kushangaza sasa matajiri wote baada ya kufa watakuwa maskini milele believe me.

Sasa ni bora tu kuwa maskini duniani miaka 70 hivi, ukifa unakuwa fogo mazima. Kuliko kuwa tajiri duniani kwa muda mfupi ukifa unapiga mizinga milele.

Ipi bora hapo sasa si kuwa maskini tu ili baadaye ukifa unakuwa tajiri milele?

Sijui naeleweka wanajamvi wenzangu. Wengine kama kina adriz watakimbilia kusema natumia strong substances yes ofcoz I use na zinanisaidia kureason critically. Na ukweli ndio huo.

Good news kwa matajiri duniani ni kusaidia wahitaji mayatima, wajane n.k. Kwa kufanya hivyo angalau unajiwekea guarantee ukifa utapata msaada wa milele kutoka kwa waliokuwa maskini.

Pia hivyohivyo kwa sisi watu weusi wala tusilalamike sana uonevu na ubaguzi tunaopitia kutoka kwa watu weupe. Kwasababu baada ya haya maisha tutakuwa dominant race milele na tutalipiza kisasi.

Poverty is a blessing in disguise ikumbatie na uichangamkie japo inauma bali kwa muda tu baada ya hapo ni bata milele.

Kikubwa ni mkono kwenda kinywani nangono.

N de A
 
Umasikini sio kitu Cha kujivunia hata kidogo , lazima mtu apambane kwa njia halali kuuondosha umasikini..

Umasikini unadhalilisha sana , nilishawahi kuuenda kupiga kibarua bosi anavuta sigara mbele yetu sisi masikini tuliojikusanya mbele yake huku Moshi wake wa sigara akitema mbele yetu bila kujali kwamba wengine hatupendi Moshi na ni kero kubwa lakini aliona kawaida na sisi tulipiga kimya kisa umasikini.

Ukiwa masikini hata ndugu wanaweza kukutenga, ukiwa masikini Mwanamke wa ndoto yako unaweza kumsikia redioni tu , ukiwa masikini unaweza kufokewa bila sababu ukabaki kimya tu .

Ukiwa masikini unaweza ukaumwa na kuozea ndani na watu wako wakaribu wakaishi katika mazingira hatarishi.

Umasikini sio kitu Cha kujivunia Wala kuendeleza , lazima mtu apambane kupunguza au kuondoa kabisa ila kwa njia halali.
 
Najua tayari ushapendeza 🍍
Huo msemo wa kupendeza nimeujua Advance coz karibia nusu ya Maboy katika class letu walikuwa wanatumia bange , Kuna muda wanajikisanya na raia wa kombi nyingine wanapanda juu Summit Kukiwasha wakitoka hapo wanajisifia kuwa tayari washapendeza .

Hapo nikagundua kuwa code ya "kupendeza" ina maanisha mtu tayari bange zishakaa kichwani yaani kavuta na imeshamkolea.
 
Jiulize kwa nini Mungu Yesu alikuja duniani kimaskini. Sijui mnapata point yangu.
 
Mzuka wanajamvi!

Nawaambieni ukweli kabisa. Kama wewe ni maskini ama una hali mbaya kimaisha usihuzunike, usilie, usilaumu, usilalamike na usimlaani yoyote.

Bali furahi tembea kifua mbele jivunie umaskini wako kwani ni wa muda tu.

Kwasababu baada ya kifo maskini wote watakuwa matajiri milele. Wee fikiria tu milele you will be well off.

Cha kushangaza sasa matajiri wote baada ya kufa watakuwa maskini milele believe me.

Sasa ni bora tu kuwa maskini duniani miaka 70 hivi, ukifa unakuwa fogo mazima. Kuliko kuwa tajiri duniani kwa muda mfupi ukifa unapiga mizinga milele.

Ipi bora hapo sasa si kuwa maskini tu ili baadaye ukifa unakuwa tajiri milele?

Sijui naeleweka wanajamvi wenzangu. Wengine kama kina adriz watakimbilia kusema natumia strong substances yes ofcoz I use na zinanisaidia kureason critically. Na ukweli ndio huo.

Good news kwa matajiri duniani ni kusaidia wahitaji mayatima, wajane n.k. Kwa kufanya hivyo angalau unajiwekea guarantee ukifa utapata msaada wa milele kutoka kwa waliokuwa maskini.

Pia hivyohivyo kwa sisi watu weusi wala tusilalamike sana uonevu na ubaguzi tunaopitia kutoka kwa watu weupe. Kwasababu baada ya haya maisha tutakuwa dominant race milele na tutalipiza kisasi.

Poverty is a blessing in disguise ikumbatie na uichangamkie japo inauma bali kwa muda tu baada ya hapo ni bata milele.

Kikubwa ni mkono kwenda kinywani nangono.

N de A
Naomba utoe source ya hiyo dhana yako kwamba matajiri wote wakifa wanakuwa masikini milele na masikini kuwa matajiri , maana wewe unasema tu "believe me" bila kuweka source au hata mechanism ya mchongo ya kushawishi hiyo dhana yako.

Halafu hiyo "N de A " unamaanisha nini hapo ?
 
Mzuka wanajamvi!

Nawaambieni ukweli kabisa. Kama wewe ni maskini ama una hali mbaya kimaisha usihuzunike, usilie, usilaumu, usilalamike na usimlaani yoyote.

Bali furahi tembea kifua mbele jivunie umaskini wako kwani ni wa muda tu.

Kwasababu baada ya kifo maskini wote watakuwa matajiri milele. Wee fikiria tu milele you will be well off.

Cha kushangaza sasa matajiri wote baada ya kufa watakuwa maskini milele believe me.

Sasa ni bora tu kuwa maskini duniani miaka 70 hivi, ukifa unakuwa fogo mazima. Kuliko kuwa tajiri duniani kwa muda mfupi ukifa unapiga mizinga milele.

Ipi bora hapo sasa si kuwa maskini tu ili baadaye ukifa unakuwa tajiri milele?

Sijui naeleweka wanajamvi wenzangu. Wengine kama kina adriz watakimbilia kusema natumia strong substances yes ofcoz I use na zinanisaidia kureason critically. Na ukweli ndio huo.

Good news kwa matajiri duniani ni kusaidia wahitaji mayatima, wajane n.k. Kwa kufanya hivyo angalau unajiwekea guarantee ukifa utapata msaada wa milele kutoka kwa waliokuwa maskini.

Pia hivyohivyo kwa sisi watu weusi wala tusilalamike sana uonevu na ubaguzi tunaopitia kutoka kwa watu weupe. Kwasababu baada ya haya maisha tutakuwa dominant race milele na tutalipiza kisasi.

Poverty is a blessing in disguise ikumbatie na uichangamkie japo inauma bali kwa muda tu baada ya hapo ni bata milele.

Kikubwa ni mkono kwenda kinywani nangono.

N de A
Duh...
Hamna laana mbaya kama ufukara
 
Huu ni mwezi mtukufu, waganga wamefunga vilinge simba lazima ale chaka hakuna jinsi
 
Umaskini ni dhambi
 
tudanganye tu umasikini kwanza ni laana,paradiso na jehanam ni hapa hapa duniani
 
Back
Top Bottom