Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umaskini ni dhambi
Umaskini ni laana
Hii ni dhana mbaya , imagine mwengine kazaliwa katika familia ya kimasikini halafu mlemavu na amepambana ila kashindwa kujikwamua sasa ataingiaje kwenye kundi la laana na dhambi ? halafu unakuta mtu tajiri kapata kwa njia za Magendo ,wizi , biashara haramu , utapeli na dhuluma halafu yeye hana dhambi Wala laana kwa mtizamo wenu.Duh...
Hamna laana mbaya kama ufukara
Kabla umaskini haujajidhihirisha mwilini, hujidhihirisha rohoni.Hii ni dhana mbaya , imagine mwengine kazaliwa katika familia ya kimasikini halafu mlemavu na amepambana ila kashindwa kujikwamua sasa ataingiaje kwenye kundi la laana na dhambi ? halafu unakuta mtu tajiri kapata kwa njia za Magendo ,wizi , biashara haramu , utapeli na dhuluma halafu yeye hana dhambi Wala laana kwa mtizamo wenu.
Wapo Manabii na Mitume ambao waliishi katika umasikini je wao ni laana au Wana dhambi ?
Umasikini sio kitu kizuri kujivunia ila unaposema laana au dhambi ni makosa maana neno laana ni kubwa sana kwani Ina maanisha mtu ambaye hatazamwi kwa jicho la huruma na Mola wake pamoja na kufungiwa milango ya kheri , mfano wa kiumbe mwenye laana ni Ibilisi ...
Umaskini ni dhambi mkuu ila ufukara uliopo kwa watu wengi chanzo huwa ni laana.Hii ni dhana mbaya , imagine mwengine kazaliwa katika familia ya kimasikini halafu mlemavu na amepambana ila kashindwa kujikwamua sasa ataingiaje kwenye kundi la laana na dhambi ? halafu unakuta mtu tajiri kapata kwa njia za Magendo ,wizi , biashara haramu , utapeli na dhuluma halafu yeye hana dhambi Wala laana kwa mtizamo wenu.