Maskini Messi, katimuliwa vumbi na Ronaldo! Kazi dawa goli 4!


Teh teh hapo kumbe Messi anatumia mguu mmoja na bado anamzidi Penaldo anayetumia miguu yote miwili! jiulize ingekuwaje kama Messi angekuwa anatumia miguu yote!
 

Umeshaambiwa Ronaldo kapata goli hizo kwa mechi 38 dhidi ya mechi 31 za Messi
 

Utakuwa umesahau alivyoruka hewan messi kufunga goli fainal za roma...
 
Umeshaambiwa Ronaldo kapata goli hizo kwa mechi 38 dhidi ya mechi 31 za Messi

We mbwiga kaangalie Ronaldo na Messi nani kacheza mechi nyingi la Liga msimu sipend watu kama nyie wapayukaji we una elimu gani
 
Umeshaambiwa Ronaldo kapata goli hizo kwa mechi 38 dhidi ya mechi 31 za Messi
Kila timu imecheza match 31 mpaka sasa.hizo match 38 zimetoka wapi
 
Mkuu messi sayari nyingine...Mwezi Nov akiwa majeruhi aliachwa kwa tafauti ya goli karibu 15 lakini mwezi machi mwaka huu alimkuta na kumpita,ulitakiwa ustuke hapo na kwa aina ya uchezaji wa messi ni tafauti na cr7 huyo we mlinganishe na kina Wayne rooney,Bale,suarez etc messi ni fighter kweli na pia hutokea akafunga lkn huyo mwenzake anasubiri aletewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…