Akili zako zinafanana na kuwaza kwako na wala hayupo wa kukulaumu maana mtoto mpumbafu atabaki kuwa hasara kwa mamaye ila tafakari hili.
Zamani mpaka miaka ya 2000 iliaminika wanaougua presha ni ama watakuwa wanene sana ama ni wazee lakini sahivi sivyo ilivyo. Sasa hivi hata mtoto mdogo anapimwa ana presha na si ajabu tena.
Maana yake nini, uwazavyo leo kabla ya kesho sivyo utakavyowaza kesho ikiwa ishafika kesho yako.