Maskini mwenzenu heslb yasababisha kuua baba yangu na mama yangu

Maskini mwenzenu heslb yasababisha kuua baba yangu na mama yangu

Kwanza kabisa nawaombeni msamaha wana jamii wote wapenda amani kwa kitendo changu cha kuwaua kinadharia wazazi wangu hali wangali wazima. nililazimika kufanya hivyo ili niweze kupata mkopo asilimia mia kwani hali za wazazi wangu ni dhoofili bin taabani hivyo nilichangamka na nikasajili vifo vya wazazi wangu na kupata death certificate toka RITA ili hali wenyewe wangali hai mpaka sasa na hivi ninavyoongea niko mwaka wa pili chuo kikuu kimojawapo hapa nchini napata mkopo asilimia mia na masomo na maisha yangu pamoja na wazazi wangu yanaenda vizuri kwani nikipata boom langu huwa nakata fungu nalituma kwa wazazi wangu ingawa kwa upande wa pili nikifikiria huwa na simanzi na huzuni. wana jf naombeni ushauri kwa kile nilichokifanya nawakilisha.

sasa itakuwaje cku ambyo wazazi wako watakufa ukweli, huon kuwa utapata shda ya kupata vyeti original vya vifo... Umefanya bonge la kosa ndugu
 
Wazazi waliibiwa uhai wao, heslb waliibiwa kiinimacho, taifa liliibiwa na uenda wanafunzi wengine ambao ni mayatima kweli kweli walikosa mkopo kwani uenda kulikuwa na bajeti maalum. Vilevile uwezi kujua kuwa Mungu anampango gani juu yako ni nafasi hii kutubu na kuomba msamaha heslb na kwa wazazi wako kwani kuna kupata mkopo lakini na kudisco kupo jamani ya dunia yanapita lakini kumbuka Mungu yupo ni faida gani kupata ya dunia lakini ukakosa ufalme wa mbinguni na kuishia in the fire of hell? Soma kutoka 20:1-17 kisha ukabatizwe marko 16:16.......... "aaminiye na kubatizwa ataokoka hasiyeamini ataukumiwa"

achana na wachungaji hawa. Soma maliza chuo kapige kazi.
 
sasa itakuwaje cku ambyo wazazi wako watakufa ukweli, huon kuwa utapata shda ya kupata vyeti original vya vifo... Umefanya bonge la kosa ndugu

acha kumtisha.. Njia alizotumia kupat vyeti feki ndizo hzohzo atazotumia kupata original. Hakuna kisichowezekana bongo
 
kama unyama unyama 2,killer ww usijifanye unajuta kiuongouongo hapaa......kama unataka nenda heslb ukawaambie kama ulicheat ili upate mkopo,,,hamna cha kujutia hapo bhana unyamaunyama kweni wamekufa kwli ??-? wewe ulidhamiria xo jamaaa other thngs happen just out of our control........
 
wewe veryfication inakusubiri kwa sababu wa2 ambao hawana wazazi wote wamo kwenye previous lonee list
 
wewe veryfication inakusubiri kwa sababu wa2 ambao hawana wazazi wote wamo kwenye previous lonee list

samahan mm sina wazaz wote na jina langu limetoka ktk yale majina ya general mwanzo na nina mkopo100%. Je jina langu litakuwepo pia ktk hiyo previous lonee list? Naomba unieleweshe kwa hilo mkuu.
 
samahan mm sina wazaz wote na jina langu limetoka ktk yale majina ya general mwanzo na nina mkopo100%. Je jina langu litakuwepo pia ktk hiyo previous lonee list? Naomba unieleweshe kwa hilo mkuu.
mkuu uciwaze fanya kusoma vizuri hapa that was ma observation coz machizi wengi mtaani kwetu wapo kwenye hiyo list na ni yatima,so nahisi cku-generelize kuwa ni yatima wote
 
Back
Top Bottom