Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Tangu ang'atuke WCB chama kubwa linaloshikilia muziki wa bongo kwa sasa(kubali au kataa huo ndo ukweli) kijana Mavoko anaonyesha jitihada za kuzaliwa upya kisanaa lakini changamoto kubwa naona kama mashabiki wa muziki bongo wamemtupa na kumpuuza kijana wao licha ya kuachia ngoma mbili ndani ya muda mfupi "Ndegere" na "Naogopa" ukisikiliza audio za hizi ngoma dizaini kama kashuka kidogo hasa kwenye wimbo mpya aloachia sept 27 "Naogopa",hadi sasa huko U tube ana views 181K huku Navy Kenzo ambao nao wameachia ngoma yao siku hiyo hiyo wana views 551K
Mavoko anatakiwa atulie,ajipange aache papara, lazma afanye mambo makubwa kuprove ulimwengu kwamba huko WCB alikuwa anabaniwa,ila kama ataenda na mwendo huu,ataendelea kuwachukia wenzake bila sababu na kuuona muziki mgumu.
Hivi sasa yuko kwenye media tour ya kuupa promo wimbo wake mpya kashafanya intavyuu kwenye EA radio na Magic but hakuna attention yoyote anayopewa(inauma sana) na mpk sasa tayari wimbo wake umeshafunikwa na "Katika" wa Navy Kenzo.....any way ngoja tumpe muda zaidi.