Maskini Rich Mavoko....

Maskini Rich Mavoko....

Kusema kweli Mshikaji amepoteza" ile inspiration/ motivation aliyokuwa nayo".....
 
Tatizo La mashabiki wa mziki wa bongo ni either team kiba au Mond sasa ukigombana na m1 Wapo hapo maana yake ni kwamba umegombana na mafans wake wote so Lazma ujipange kwa kutoa hit song ili waitazame huko youtube
 
Na sasa hivi team Kiba ndo wanampoteza,kama walivyompoteza Kiba wao hadi kakimbilia kwenye soka huko nako anayumba kweli kweli
 
Marketing is an art.. Tunashukuru sana kwa promotion
 
Tangu ang'atuke WCB chama kubwa linaloshikilia muziki wa bongo kwa sasa(kubali au kataa huo ndo ukweli) kijana Mavoko anaonyesha jitihada za kuzaliwa upya kisanaa lakini changamoto kubwa naona kama mashabiki wa muziki bongo wamemtupa na kumpuuza kijana wao licha ya kuachia ngoma mbili ndani ya muda mfupi "Ndegere" na "Naogopa" ukisikiliza audio za hizi ngoma dizaini kama kashuka kidogo hasa kwenye wimbo mpya aloachia sept 27 "Naogopa",hadi sasa huko U tube ana views 181K huku Navy Kenzo ambao nao wameachia ngoma yao siku hiyo hiyo wana views 551K

Mavoko anatakiwa atulie,ajipange aache papara, lazma afanye mambo makubwa kuprove ulimwengu kwamba huko WCB alikuwa anabaniwa,ila kama ataenda na mwendo huu,ataendelea kuwachukia wenzake bila sababu na kuuona muziki mgumu.

Hivi sasa yuko kwenye media tour ya kuupa promo wimbo wake mpya kashafanya intavyuu kwenye EA radio na Magic but hakuna attention yoyote anayopewa(inauma sana) na mpk sasa tayari wimbo wake umeshafunikwa na "Katika" wa Navy Kenzo.....any way ngoja tumpe muda zaidi.View attachment 881199
Kwahiyo ubora wa wimbo unaupima kwa views za Youtube???
Zile hitsong za Kina Jaymoe, Mb dog na akina Nature za miaka ya 2000 zilikuwa na views ngapi youtube?

Mbona Naogopa ngoma kali tu?
 
Nahisi suala la kuondoka WCB ni kama alitumia hisia zaidi ila sio akili.

Ni vema kusimama peke yake lakini ilikuwa ni muhimu kujua na kutafakari kama ataweza peke yake. Mziki wa sasa ukiwa peke yako bila support yenye nguvu lazima umtafute mchawi.

Hakuna migogoro isiyokuwa na suluhu za mazungumzo,angezungumza na wenzake wawekane sawa, kama ni mikataba irekebishwe.

Apambane sasa maana mashabiki walimpa kichwa kuwa pale anapotea,aoneshe kuwa WCB KApoteza muda wake.

Mashabiki zake pia msimuache sasa kipindi hiki.
Point ya rich mavoko niliielewa sana ata maisha ya kawaida huwezi ukakubaliana na mtu utafanya kazi mwisho saa 12 afu anakutumikisha mpaka saa 2 kwa mshahara ule ule
kItu kingine rich mavoko mziki wake hauwezi kufa bado anafun base kubwa ata huko kenya ishu za views youtube imekuwa kama wasanii wanajifichia huko kusema inawalipa baada ya soko la shoo kupungua malipo ya youtube hayatabiriki usije ukaona mtu anaviews mil 10 ukazani zote zile analipwa anaejua zaidi atusaidie
 
Tangu ang'atuke WCB chama kubwa linaloshikilia muziki wa bongo kwa sasa(kubali au kataa huo ndo ukweli) kijana Mavoko anaonyesha jitihada za kuzaliwa upya kisanaa lakini changamoto kubwa naona kama mashabiki wa muziki bongo wamemtupa na kumpuuza kijana wao licha ya kuachia ngoma mbili ndani ya muda mfupi "Ndegere" na "Naogopa" ukisikiliza audio za hizi ngoma dizaini kama kashuka kidogo hasa kwenye wimbo mpya aloachia sept 27 "Naogopa",hadi sasa huko U tube ana views 181K huku Navy Kenzo ambao nao wameachia ngoma yao siku hiyo hiyo wana views 551K

Mavoko anatakiwa atulie,ajipange aache papara, lazma afanye mambo makubwa kuprove ulimwengu kwamba huko WCB alikuwa anabaniwa,ila kama ataenda na mwendo huu,ataendelea kuwachukia wenzake bila sababu na kuuona muziki mgumu.

Hivi sasa yuko kwenye media tour ya kuupa promo wimbo wake mpya kashafanya intavyuu kwenye EA radio na Magic but hakuna attention yoyote anayopewa(inauma sana) na mpk sasa tayari wimbo wake umeshafunikwa na "Katika" wa Navy Kenzo.....any way ngoja tumpe muda zaidi.View attachment 881199
Mavoko ndio nani tena?

Mmmmh sijawahi kulisikia hilo jina.
 
Kwahiyo ubora wa wimbo unaupima kwa views za Youtube???
Zile hitsong za Kina Jaymoe, Mb dog na akina Nature za miaka ya 2000 zilikuwa na views ngapi youtube?

Mbona Naogopa ngoma kali tu?
We jamaa na wewe kichwa kizito sana,miaka hiyo ya 2000 niambie nani alikuwa ana akaunti youtube? nani alikua anaweza kuachia ngoma via youtube only?
Najuta kupoteza muda wangu kukujibu.
 
Rich asipoanhalia tutamsahau kwenye muziki. Hiki ni kipindi anachotakiwa kuwa makini na kila afanyalo na asemalo.
 
Tangu ang'atuke WCB chama kubwa linaloshikilia muziki wa bongo kwa sasa(kubali au kataa huo ndo ukweli) kijana Mavoko anaonyesha jitihada za kuzaliwa upya kisanaa lakini changamoto kubwa naona kama mashabiki wa muziki bongo wamemtupa na kumpuuza kijana wao licha ya kuachia ngoma mbili ndani ya muda mfupi "Ndegere" na "Naogopa" ukisikiliza audio za hizi ngoma dizaini kama kashuka kidogo hasa kwenye wimbo mpya aloachia sept 27 "Naogopa",hadi sasa huko U tube ana views 181K huku Navy Kenzo ambao nao wameachia ngoma yao siku hiyo hiyo wana views 551K

Mavoko anatakiwa atulie,ajipange aache papara, lazma afanye mambo makubwa kuprove ulimwengu kwamba huko WCB alikuwa anabaniwa,ila kama ataenda na mwendo huu,ataendelea kuwachukia wenzake bila sababu na kuuona muziki mgumu.

Hivi sasa yuko kwenye media tour ya kuupa promo wimbo wake mpya kashafanya intavyuu kwenye EA radio na Magic but hakuna attention yoyote anayopewa(inauma sana) na mpk sasa tayari wimbo wake umeshafunikwa na "Katika" wa Navy Kenzo.....any way ngoja tumpe muda zaidi.View attachment 881199
Fact
 
Najiskia vibaya sana...tumsapoti Mavoko. Ana nidhamu sana huyu jamaa
 
  • Thanks
Reactions: etb
Back
Top Bottom