Maskini Rich Mavoko....

Maskini Rich Mavoko....

WCB ndio habari ya Mujini, unaona dogo Mbosso alivyopikwa hebu angalia na wenzie wa Yamoto akina Enock na Beka wanavyotapatapa maji shingoni afadhali Aslay anajitahidi na hii ni kutoka ya kwamba alianza mziki mapema
 
Angalia ulivyokuwa mnafiki mpaka unayakataa maneno yako uliyoyaandika au huyu sio ww.
""

Muziki Tanzania ulishakufa. Mimi siku hizi nasikiliza:
- Muziki wa Nigeria
- Muziki wa Marekani
- Cover songs + Mashups ( US/NIGERIA )
- USA up coming Artists kama "NEXT TOWN DOWN'" ""


Mziki kwako ndio upuuzi ila karanga, kifesi, mwarabu fighter, wasafi tv, perfume unafuatilia. Acha UNAFIKI.
Nadhani hata baba yako atajuta kujua alizaa umegeuka MSUKULE WA DOMO
 
Mpaka leo Ngedere Viewers 902 na Naogopa Viewers 402...
 
Sawa HAMISO MOBETO
POVU!!!!!!!!!!!!,naona ume panic mtoto wa kiume una mashauzi utafikiri mwanamke,eti hoo mimi sifuatilii mziki wa bongo kumbe unazijua mpaka Diamond karanga,Wasafi tv,Kifesi,Perfume na kwa kuonyesha wewe bado MNAFIKI na memory yako ndogo kumbe mpaka Hamisa Mobeto unamjua, acha UNAFIKI kwani hayo ni mambo ya KIKE..
 
That how they do in PUERTO RICO !!

Muziki Tanzania ulishakufa. Mimi siku hizi nasikiliza:
- Muziki wa Nigeria
- Muziki wa Marekani
- Cover songs + Mashups ( US/NIGERIA )
- USA up coming Artists kama "NEXT TOWN DOWN'

- Amma ni bora hata nimwangalie YouTuber Mghana WODE MAYA na mbwembwe zake CHINA.

- Au hata nifurahie JIMMY KIMMEL wa USA Baby ( Nyani Ngabu) na JOKES zake matata

- MADRAMA YA NGONO kwenye UPUUZI WA BONGO mnaouita MUZIKI ni kupotezeana MUDA TU.

Muziki ulikuwa zamani, kina MICHAEL JACK hata neno FVCK, au AS.S hakuwa akilitaja kwenye nyimbo zake, alikuwa na nyimbo zilizojaa UTU, UBINADAMU, UKOMBOZI na ni POP KING EVER
> THE DON'T CARE ABOUT US
> HEAL THE WORLD
> WE ARE THE WORLD
> YOU WILL BE THERE n.k

Say NO to MADRAMA YA NGOOOONOOOO

Bring BACK REAL MUSIC !!
Kweli mkuu mziki ulikuwa zamani yaani kuna nyimbo za zamani hata nikizisikiliza naona kama vile mpya mfano
DILEMMA ya Nelly na Kelly Rowland
 
Yeye ndiye anaejua nn kilimpleka wcb na nn kimemtoa wcb so mwacheni apambane
 
[emoji38][emoji38][emoji38]siku zote unatoaga nyuzi za kuwalamba inye WCB na za kuwapondea wanaotofautiana na WCB.[emoji38][emoji38][emoji38]dont panic bana kubali ukweli hamuwezi mpoteza mavoko maana hamkumvumbua nyie

Kiherehere on fleek[emoji38][emoji38][emoji38]
Mbona tayari keshapotea huyo dogo.
 
Back
Top Bottom