kama anafedha za kuanzia,atoe tangazo la kuajiri menejimenti.wapo watu wengi wenye taaluma za kutosha hasa mambo ya masoko,ambao wanaweza kumsaidia.
kama anafedha za kuanzia,atoe tangazo la kuajiri menejimenti.wapo watu wengi wenye taaluma za kutosha hasa mambo ya masoko,ambao wanaweza kumsaidia.
Na sasa hivi team Kiba ndo wanampoteza,kama walivyompoteza Kiba wao hadi kakimbilia kwenye soka huko nako anayumba kweli kweliTatizo La mashabiki wa mziki wa bongo ni either team kiba au Mond sasa ukigombana na m1 Wapo hapo maana yake ni kwamba umegombana na mafans wake wote so Lazma ujipange kwa kutoa hit song ili waitazame huko youtube
Kwahiyo ubora wa wimbo unaupima kwa views za Youtube???Tangu ang'atuke WCB chama kubwa linaloshikilia muziki wa bongo kwa sasa(kubali au kataa huo ndo ukweli) kijana Mavoko anaonyesha jitihada za kuzaliwa upya kisanaa lakini changamoto kubwa naona kama mashabiki wa muziki bongo wamemtupa na kumpuuza kijana wao licha ya kuachia ngoma mbili ndani ya muda mfupi "Ndegere" na "Naogopa" ukisikiliza audio za hizi ngoma dizaini kama kashuka kidogo hasa kwenye wimbo mpya aloachia sept 27 "Naogopa",hadi sasa huko U tube ana views 181K huku Navy Kenzo ambao nao wameachia ngoma yao siku hiyo hiyo wana views 551K
Mavoko anatakiwa atulie,ajipange aache papara, lazma afanye mambo makubwa kuprove ulimwengu kwamba huko WCB alikuwa anabaniwa,ila kama ataenda na mwendo huu,ataendelea kuwachukia wenzake bila sababu na kuuona muziki mgumu.
Hivi sasa yuko kwenye media tour ya kuupa promo wimbo wake mpya kashafanya intavyuu kwenye EA radio na Magic but hakuna attention yoyote anayopewa(inauma sana) na mpk sasa tayari wimbo wake umeshafunikwa na "Katika" wa Navy Kenzo.....any way ngoja tumpe muda zaidi.View attachment 881199
Point ya rich mavoko niliielewa sana ata maisha ya kawaida huwezi ukakubaliana na mtu utafanya kazi mwisho saa 12 afu anakutumikisha mpaka saa 2 kwa mshahara ule uleNahisi suala la kuondoka WCB ni kama alitumia hisia zaidi ila sio akili.
Ni vema kusimama peke yake lakini ilikuwa ni muhimu kujua na kutafakari kama ataweza peke yake. Mziki wa sasa ukiwa peke yako bila support yenye nguvu lazima umtafute mchawi.
Hakuna migogoro isiyokuwa na suluhu za mazungumzo,angezungumza na wenzake wawekane sawa, kama ni mikataba irekebishwe.
Apambane sasa maana mashabiki walimpa kichwa kuwa pale anapotea,aoneshe kuwa WCB KApoteza muda wake.
Mashabiki zake pia msimuache sasa kipindi hiki.
Mavoko ndio nani tena?Tangu ang'atuke WCB chama kubwa linaloshikilia muziki wa bongo kwa sasa(kubali au kataa huo ndo ukweli) kijana Mavoko anaonyesha jitihada za kuzaliwa upya kisanaa lakini changamoto kubwa naona kama mashabiki wa muziki bongo wamemtupa na kumpuuza kijana wao licha ya kuachia ngoma mbili ndani ya muda mfupi "Ndegere" na "Naogopa" ukisikiliza audio za hizi ngoma dizaini kama kashuka kidogo hasa kwenye wimbo mpya aloachia sept 27 "Naogopa",hadi sasa huko U tube ana views 181K huku Navy Kenzo ambao nao wameachia ngoma yao siku hiyo hiyo wana views 551K
Mavoko anatakiwa atulie,ajipange aache papara, lazma afanye mambo makubwa kuprove ulimwengu kwamba huko WCB alikuwa anabaniwa,ila kama ataenda na mwendo huu,ataendelea kuwachukia wenzake bila sababu na kuuona muziki mgumu.
Hivi sasa yuko kwenye media tour ya kuupa promo wimbo wake mpya kashafanya intavyuu kwenye EA radio na Magic but hakuna attention yoyote anayopewa(inauma sana) na mpk sasa tayari wimbo wake umeshafunikwa na "Katika" wa Navy Kenzo.....any way ngoja tumpe muda zaidi.View attachment 881199
We jamaa na wewe kichwa kizito sana,miaka hiyo ya 2000 niambie nani alikuwa ana akaunti youtube? nani alikua anaweza kuachia ngoma via youtube only?Kwahiyo ubora wa wimbo unaupima kwa views za Youtube???
Zile hitsong za Kina Jaymoe, Mb dog na akina Nature za miaka ya 2000 zilikuwa na views ngapi youtube?
Mbona Naogopa ngoma kali tu?
Acha kuzingua na weweMavoko ndio nani tena?
Mmmmh sijawahi kulisikia hilo jina.
FactTangu ang'atuke WCB chama kubwa linaloshikilia muziki wa bongo kwa sasa(kubali au kataa huo ndo ukweli) kijana Mavoko anaonyesha jitihada za kuzaliwa upya kisanaa lakini changamoto kubwa naona kama mashabiki wa muziki bongo wamemtupa na kumpuuza kijana wao licha ya kuachia ngoma mbili ndani ya muda mfupi "Ndegere" na "Naogopa" ukisikiliza audio za hizi ngoma dizaini kama kashuka kidogo hasa kwenye wimbo mpya aloachia sept 27 "Naogopa",hadi sasa huko U tube ana views 181K huku Navy Kenzo ambao nao wameachia ngoma yao siku hiyo hiyo wana views 551K
Mavoko anatakiwa atulie,ajipange aache papara, lazma afanye mambo makubwa kuprove ulimwengu kwamba huko WCB alikuwa anabaniwa,ila kama ataenda na mwendo huu,ataendelea kuwachukia wenzake bila sababu na kuuona muziki mgumu.
Hivi sasa yuko kwenye media tour ya kuupa promo wimbo wake mpya kashafanya intavyuu kwenye EA radio na Magic but hakuna attention yoyote anayopewa(inauma sana) na mpk sasa tayari wimbo wake umeshafunikwa na "Katika" wa Navy Kenzo.....any way ngoja tumpe muda zaidi.View attachment 881199
Kule kulikuwa Ni analogy but now Ni digital,na views wengi ni moja ya factor ya ngoma ku Bamba ok,ko be careful with your heartKwahiyo ubora wa wimbo unaupima kwa views za Youtube???
Zile hitsong za Kina Jaymoe, Mb dog na akina Nature za miaka ya 2000 zilikuwa na views ngapi youtube?
Mbona Naogopa ngoma kali tu?
Ni msanii mpya wa WCB au?Acha kuzingua na wewe
mi siku zote nakuambiaga jifunze kupambanua mambo usiwe mwepesi wa kukomenti bila kutumia ubongo,comments zako nyingi zimejaa "kiherehere" flani hivi....
Asikusumbue huyo mkuuYeah and will be continued.[emoji23][emoji23][emoji23]