Nadhani hata baba yako atajuta kujua alizaa umegeuka MSUKULE WA DOMOAngalia ulivyokuwa mnafiki mpaka unayakataa maneno yako uliyoyaandika au huyu sio ww.
""
Muziki Tanzania ulishakufa. Mimi siku hizi nasikiliza:
- Muziki wa Nigeria
- Muziki wa Marekani
- Cover songs + Mashups ( US/NIGERIA )
- USA up coming Artists kama "NEXT TOWN DOWN'" ""
Mziki kwako ndio upuuzi ila karanga, kifesi, mwarabu fighter, wasafi tv, perfume unafuatilia. Acha UNAFIKI.
Nashukuru umejielewa kama MNAFIKI, kwa jinsi unavyoonekana memory yako ndogo mpaka unasahau ulivyoviandika ww mwenyewe, acha UNAFIKI.Nadhani hata baba yako atajuta kujua alizaa umegeuka MSUKULE WA DOMO
Sawa HAMISO MOBETONashukuru umejielewa kama MNAFIKI, kwa jinsi unavyoonekana memory yako ndogo mpaka unasahau ulivyoviandika ww mwenyewe, acha UNAFIKI.
POVU!!!!!!!!!!!!,naona ume panic mtoto wa kiume una mashauzi utafikiri mwanamke,eti hoo mimi sifuatilii mziki wa bongo kumbe unazijua mpaka Diamond karanga,Wasafi tv,Kifesi,Perfume na kwa kuonyesha wewe bado MNAFIKI na memory yako ndogo kumbe mpaka Hamisa Mobeto unamjua, acha UNAFIKI kwani hayo ni mambo ya KIKE..Sawa HAMISO MOBETO
Kweli mkuu mziki ulikuwa zamani yaani kuna nyimbo za zamani hata nikizisikiliza naona kama vile mpya mfanoThat how they do in PUERTO RICO !!
Muziki Tanzania ulishakufa. Mimi siku hizi nasikiliza:
- Muziki wa Nigeria
- Muziki wa Marekani
- Cover songs + Mashups ( US/NIGERIA )
- USA up coming Artists kama "NEXT TOWN DOWN'
- Amma ni bora hata nimwangalie YouTuber Mghana WODE MAYA na mbwembwe zake CHINA.
- Au hata nifurahie JIMMY KIMMEL wa USA Baby ( Nyani Ngabu) na JOKES zake matata
- MADRAMA YA NGONO kwenye UPUUZI WA BONGO mnaouita MUZIKI ni kupotezeana MUDA TU.
Muziki ulikuwa zamani, kina MICHAEL JACK hata neno FVCK, au AS.S hakuwa akilitaja kwenye nyimbo zake, alikuwa na nyimbo zilizojaa UTU, UBINADAMU, UKOMBOZI na ni POP KING EVER
> THE DON'T CARE ABOUT US
> HEAL THE WORLD
> WE ARE THE WORLD
> YOU WILL BE THERE n.k
Say NO to MADRAMA YA NGOOOONOOOO
Bring BACK REAL MUSIC !!
Mbona tayari keshapotea huyo dogo.[emoji38][emoji38][emoji38]siku zote unatoaga nyuzi za kuwalamba inye WCB na za kuwapondea wanaotofautiana na WCB.[emoji38][emoji38][emoji38]dont panic bana kubali ukweli hamuwezi mpoteza mavoko maana hamkumvumbua nyie
Kiherehere on fleek[emoji38][emoji38][emoji38]