Public Enemy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 3,029
- 3,520
Alishajiimbia Nikki Mbishi "Wakwapi walotamba na sasa wamebaki story, kwa mfano Mwisho Mwampamba na mshamba Saida Kaloli" wimbo Image
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah hata msanii mwenzao wa magogoni aliwahi kusema, 'huwezi kula kila siku bila na wewe kuliwa'
Jamani jamani !Maskini Saida Karoli.
Huyu naye ana umaskini wa hatari nasikia Hata voucher ya simu hana.Sasa kuna msanii aliyeuza wa kike kama huyu? Huyu sasa ndo walimdhurumu kila kitu.Jamaa yule muhaya wa silent in club alikuwa anampa show elfu hamsini wakati yeye katengeneza Milioni mia tano.
Show za Saida mpaka Uganda zilikuwaa zinajaza ma milioni.
Tatizo huyu dada yetu alikuwa hata kuandika jina lake hajui so huyu baba akatumia hiyo kama silaha ya kumuibia.
kafanyaje?
Soooo unfair jamani.
Nimetamani kujua alipo sasa!
Mawingu wamempoteza!
Wimbo ule aloimba Saida akishirikiana na Barnaba,somethin like Mpenzi nakupenda ulikuwa mzuri sana,ivi kwanini wanamuziki wetu huwa hawakati insurance?Japo ya matibabu tu!
Felician Muta na Ruge Muta ni ndugu?
Hawana undugu wowote... baba yake Ruge profesa Mtahaba aweza kuwa analingana umri na Felician Muta make wote wazee wa makamo... ila Felician yeye ni wale madon wazee wa street kitambo kukuliza vitu vya kawaida.
Banana,nlikosea!Na barnaba au na banana? Huo alioimba na barnaba hata siujui hebu tupia vistari viwili hapa
kumbe ndo maana kapotea....ama kweli mambo ya kupokezana vijiti. he was my jirani pale Makole Dom
Hyo aliyemdhulumu
Mwisho wake atashangaa, dhuluma mbaya
Mawingu wamempoteza!