Maskini Saida Karoli

Alishajiimbia Nikki Mbishi "Wakwapi walotamba na sasa wamebaki story, kwa mfano Mwisho Mwampamba na mshamba Saida Kaloli" wimbo Image
 

boss una uhakika na hiki au changamsha genge
 
Wimbo ule aloimba Saida akishirikiana na Barnaba,somethin like Mpenzi nakupenda ulikuwa mzuri sana,ivi kwanini wanamuziki wetu huwa hawakati insurance?Japo ya matibabu tu!
 
Wimbo ule aloimba Saida akishirikiana na Barnaba,somethin like Mpenzi nakupenda ulikuwa mzuri sana,ivi kwanini wanamuziki wetu huwa hawakati insurance?Japo ya matibabu tu!

Mine BARNABA na SAIDA bonge la song
 
Na barnaba au na banana? Huo alioimba na barnaba hata siujui hebu tupia vistari viwili hapa
 
Felician Muta na Ruge Muta ni ndugu?

Hawana undugu wowote... baba yake Ruge profesa Mtahaba aweza kuwa analingana umri na Felician Muta make wote wazee wa makamo... ila Felician yeye ni wale madon wazee wa street kitambo kukuliza vitu vya kawaida.
 
kumbe ndo maana kapotea....ama kweli mambo ya kupokezana vijiti. he was my jirani pale Makole Dom

Waliigaragaza albam yk ya mwisho! With stress, aksepa south Africa kwa babake!
 
Bora jamaa alikamua mafao tuu,,kuliko angekula mzigo maana jamaa inasemekana dah ni sumuu.
 
Kina Ruge ni wezi sana,,Rugemalira kapiga mpunga wa escrow dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…