Maskini Saida Karoli

Mkuu mawingu wamewapoteza wengi ujue..Mr.Paul,Kbasil,Bushoke,Stara Thomas eti..yaani ukidai haki yako tu..wanakujengea bifu mwanzo mwisho..

Hizi propaganda ndio tumeshazikataa..' tz kuna radio 88, clouds radio 1 inampotezaje msanii? Huu ni upashkuna. Kuna watu msipoitaja mawingu hamlali..
 
Hivi mbona kila aliye/anayejihusisha na wasanii anaishia kulaumiwa na kuitwa dhulumati, Ruge, Asha Baraka, Fela, Tale, Ustaadhi Juma, Kiumbe na wengine wengi.

Q Chilla muda mrefu alikuwa benchi tia maji tia maji, Mungu si Athumani kajitokeza Msamaria mwema na sasa anasikika tena..kama kawaida wadau tutaplay part yetu..."huyo atakudhulumu blah blah" akitoka tunakaa pembeni...akiharibikiwa tunarudi kwenye mitandao...oooh fulani anasikitisha n.k.....

Hebu mtutajie ambaye mnaridhika naye alafu mumuelekeze Saida, coz si bado yupo hai na kipaji kipo.
 

Saida karol yupo sehem panaitwa nyasaka mwanza,ana mtoto mdogo,kwasasa show zake anapiga visiwani,visiwa vya mwanza na musoma ziwa victoria sio kweli kuwa hata vocha anakosa,ana vyombo vyake na bendi yake na wacheza show ambao anawalipa,miongon mwa wacheza show ni mwanae ambae pia anaimba,mi nina eneo kisiwa flan sengerema nishawah kufika had kwake kumkodisha na watu walimkubali sana! Nilifika kwake nyumba yake ni tofaut na umaarufu wake ila sio nyumba mbaya ni kubwa na kila kitu ndani
 

asante kwa kumaliza utata... hata Dina Marios aliwahi kumhoji na kusema kama ulivyo sema..
 
Acheni acheni msiseme ule wimbo wake
anaocheza tumbo nje huwa naona aibu
utazani ni mimi;
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…