Maskini wa Mungu mimi sijui nifanyeje!

chukua magadi kilo tano changanya na pilipili kichaa nusu kilo,weka maharage yaliyo kwisha pikwa chini ya mvungu wa kitanda kwa muda wa wiki kisha changanya vyote uoge.......hiyo ni dawa ya kuvuta nyota ya kwako iko mbali sana.
Duh! hii kali mkuu hata kwa wasanii wa vichekesho sijawahi kuisikia.
 
Dah huu ni miongoni mwa ushauri wa mtu mwenye kushauri!
 
siko hivyo kaka mie wa kawaida kabisa sina mashauzi , siringi wala sijisikii, siendagi kwenye starehe wala pombe sio mnywaji, nakubalika sana kwenye jamii tatizo ni hilo tuu siolewi sijui nimemkosea nini mwenyezi mungu najuuta
Ukimtaja Mungu usiseme nimemkosea nini? Yeye humpa amtakaye bila hesabu
We hujaona kuna watu wana mizigo ya madhambi lakini anawapa? Suala si umemkosea
nini. Kuwa mwenye subira!
 
Mh! hapana sikubaliani na wewe, ina maana unamshauri azae nje ya ndoa?
Labda awe nje ya dini mbili tulizozizoea hapa Tanzania, vinginevyo ni kinyume
cha maadili!
 
Msichana kama ww still hujaolewa wala huna mchumba @. 32yrs of age una matatizo kama si ya kiafya, basi una madharau saaaana kwa wanaume unajiona upo matawiiiiii, au ktk miaka yako ya usichana mchanga say 16-28 hivi ulikuwa na wanaume wengiiiiii wana do na ww, au ulikuwa hutaki kuulizwa kitu na ur Xss, so umri unaenda ujanja umeisha, wahenga walisema ujanja
mwingii mbele giza, ni mtazamo wangu lazima mOja wapo hapo juu unalo ktk maisha yako, so ukijua tatizo kati ya hayo ukajirekebisha utaolewa in short time, na dawa kubwa kwa wanaume ni UTII tu, mwanaume hana ujanja ukiwa mtiifu kwake
 
miaka 32 ni umri ambao ulitakiwa uwe na mme pamoja na mtoto.....cha kkshauri toka hilo eneo ambalo unaishi uende eneo jingine kabisa kwani wakazi wa eneo hilo washakufaham hata wengine washakuzarau pia wengi wanajua uliyokuwa ukiyafanya enzi za usichana wako..au wazazi wako wa hisoria mbaya hivyo inakuwa vigumu kuolewa....... nakushauri uende maeneo ya wavuvi, wachimba madini huko hawakucheleweshi.....au mtafute mtu aliyefiwa na mke wake.....au tafuta mtu mzima yaani mwenye miaka 50.............ukishindwa yote hayo tafuta kijana aliyepigika umree na umuheshimu kama mme wako...........naiamani utafanyia kaz nc day.
 
Mi nakushauri usiwe na papara,kwa umri wako muda bado na nafasi unayo pia ya kumpata atakae kuoa,Cha msingi usikurupuke kwani waweza angukia mikononi mwa mafataki,lakini pia chagua chagua utapata nazi koroma.
 
Sina ugonjwa Wa aina yoyote na yote unayoyafikiria sio yakweli sijawahi kuwa nawanaume wengiii, nakaaga muda mrefu hata 2yrs sina mwanaume hata 1 nanikiwa na mwanaume namuheshimu sana, wala story ya umalaya sinaga mie, nina adabu ninaupendo na utu nasijawahi kuwa na dharau hata siku1
 
whaaaaat!!!? Miaka 50? Kijana aliepigika nimlee? shit
 
Mi nakushauri usiwe na papara,kwa umri wako muda bado na nafasi unayo pia ya kumpata atakae kuoa,Cha msingi usikurupuke kwani waweza angukia mikononi mwa mafataki,lakini pia chagua chagua utapata nazi koroma.
nashukuru mpendwa
 
Mimi nilikuwa nafikiria kutangaza kutafuta mke,maadam wewe umetoa kilio chako hapa ngoja nikufanyie feva kwa kujitolea mimi mwenyewe.,ni PM pls maana mengine ni yetu binafsi.

Ndugu! Umfanyie feva??? Haaaa!
 

ni pm faster!
 
Usihofu, maadam umeleta hapa, wapendwa twaungana nawe katika sala, na sala za wengi Mungu hizisikia. By June next year utavaa shela, beleave my words na usininyime kadi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…