Msichana kama ww still hujaolewa wala huna mchumba @. 32yrs of age una matatizo kama si ya kiafya, basi una madharau saaaana kwa wanaume unajiona upo matawiiiiii, au ktk miaka yako ya usichana mchanga say 16-28 hivi ulikuwa na wanaume wengiiiiii wana do na ww, au ulikuwa hutaki kuulizwa kitu na ur Xss, so umri unaenda ujanja umeisha, wahenga walisema ujanja
mwingii mbele giza, ni mtazamo wangu lazima mOja wapo hapo juu unalo ktk maisha yako, so ukijua tatizo kati ya hayo ukajirekebisha utaolewa in short time, na dawa kubwa kwa wanaume ni UTII tu, mwanaume hana ujanja ukiwa mtiifu kwake