Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Si vyema kupiga picha watu na kuweka kwa mitandao ndugu bila ridhaa yao.Siku moja nikasogea kwenye hii chagua chagua pale Buguruni sokoni bus stand pale, Kwa Mnyamani. Kwa kweli viatu vilivyokuwa vimemwagwa pale siyo viatu ile ni uchafu!!
They never worthed kupanda Meli visafiri umbali wote ule na vishughulishe watu wetu kuwa eti wako kwenye biashara!
Mamlaka zina haja ya kuweka some minimum limitations kwenye what do we allow to be imported as used products.
Kuna viatu vinaitwa mafua, yani ni serembua, vinauzwa elfu mbili tu na machinga wannunua na kuviwekea gundi na kuuza elfu 20 maeneo ya vyuo na kwenye baa usiku ili mteja asione sehemu zilizofanyiwa marekebisho.
tuna kiwanda cha BORA BORA, BATA BATA, MAGEREZA , WOSO ORIGINAL PRODUCTS, WALKAROO na vyengine kibao lakini tunaletewa makombo ambayo infact ni dampo na si kwamba wanatuletea ili kuvaa.
Sijagusia chupi za kike na chupi za kiume!
View attachment 3352662
Hatuna uchumi wa kwenda kununua viatu vya huko BATABATA, WALKAROO na hao wengineo.Siku moja nikasogea kwenye hii chagua chagua pale Buguruni sokoni bus stand pale, Kwa Mnyamani. Kwa kweli viatu vilivyokuwa vimemwagwa pale siyo viatu ile ni uchafu!!
They never worthed kupanda Meli visafiri umbali wote ule na vishughulishe watu wetu kuwa eti wako kwenye biashara!
Mamlaka zina haja ya kuweka some minimum limitations kwenye what do we allow to be imported as used products.
Kuna viatu vinaitwa mafua, yani ni serembua, vinauzwa elfu mbili tu na machinga wannunua na kuviwekea gundi na kuuza elfu 20 maeneo ya vyuo na kwenye baa usiku ili mteja asione sehemu zilizofanyiwa marekebisho.
tuna kiwanda cha BORA BORA, BATA BATA, MAGEREZA , WOSO ORIGINAL PRODUCTS, WALKAROO na vyengine kibao lakini tunaletewa makombo ambayo infact ni dampo na si kwamba wanatuletea ili kuvaa.
Sijagusia chupi za kike na chupi za kiume!
View attachment 3352662
Kabisa mkuu, watu tunatofautiana kwa kipato..Inasikitisha sana. Wangekua na pesa wangenunua vipya
Unajivunia maskini kuvaa chupi yenyen ukoko toka kwa mzungu wakati alipaswa kutengeneza chupi yake mpya?Mkuu hao Maskini ndiyo wana tengeneza matajiri... Wana umuhimu sana katika Jamii.. ya Kiafrika..
Fungus, UTI sugu na magonjwa ya ngozi tunapata huko alafu kuna maskini mmoja anajigamba kuwa hao ndio wanatengeneza matajiri.Kuna siku niloongea na wauzaji wa Chupi na taulo wakasema wanayoyakuta humo ni bora zipigwe marufuku tu,watu wameacha vinyesi na damu za mwezi humo inabidi wafue au watupe tu
πππFungus, UTI sugu na magonjwa ya ngozi tunapata huko alafu kuna maskini mmoja anajigamba kuwa hao ndio wanatengeneza matajiri.
Nilipaswa kwenda kuongea nao wote niwaombe ridhaa, kumbe !!Si vyema kupiga picha watu na kuweka kwa mitandao ndugu bila ridhaa yao.
Uchumi wa MamaSiku moja nikasogea kwenye hii chagua chagua pale Buguruni sokoni bus stand pale, Kwa Mnyamani. Kwa kweli viatu vilivyokuwa vimemwagwa pale siyo viatu ile ni uchafu!!