MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Endelea kukaza fuvu.Basi ule mkutano wetu pale Dodoma juzi na jana tulikuw a 600 na tumepostiwa bila ridhaa, naomba ushauri namna ya kushitaki.
Endelea kukaza fuvu.Basi ule mkutano wetu pale Dodoma juzi na jana tulikuw a 600 na tumepostiwa bila ridhaa, naomba ushauri namna ya kushitaki.
Maskini wakikoa hoja ndio wanaanza hivi.Endelea kukaza fuvu.
Sawa msajili wa matajiri na maskini.Maskini wakikoa hoja ndio wanaanza hivi.
of course hata avatar yako inakusema wewe ni nani.
Nakuacha na ufahamu wako ambao medula imetolewa umejazwa funza kichwani.
Uko sahihi,vitu OG vipo ila tatizo ni bei ghali ndio maana tunataka mitumba,ila hata hivyo ni bora serikali ipige marufuku hasa nguo za ndani na taulo maana ni hatari sanaDah! Umasikini ni laana. Nikipata pesa kitu kinachoitwa mtumba kamwe sitosogelea.
Halafu watanzania tunadanganyana ati begi au kiatu cha mtumba kinadumu. Kwa nini tusitafute original chake tununue kikiwa kipya.