Maskini Wakichagua "viatu kuu-kuu" Mtaa wa Kongo - Kariakoo

Dah! Umasikini ni laana. Nikipata pesa kitu kinachoitwa mtumba kamwe sitosogelea.

Halafu watanzania tunadanganyana ati begi au kiatu cha mtumba kinadumu. Kwa nini tusitafute original chake tununue kikiwa kipya.
Uko sahihi,vitu OG vipo ila tatizo ni bei ghali ndio maana tunataka mitumba,ila hata hivyo ni bora serikali ipige marufuku hasa nguo za ndani na taulo maana ni hatari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…