Maskini wanakufa kizembe sana

Maskini wanakufa kizembe sana

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Hospitalini sasa hivi hata kama huna hela hawawezi kukuacha uteketee lazima watakutibu libaki deni, cha ajabu unakuta eti mtu kafa mtaani sababu wanadai ni uchumi mdogo ndio maana wameshindwa kumpeleka medical.

Mtu Sawa anaumwa kwanini aachwe ndani. Ni uzembe na sio umaskini, mtu unakuta yuko week mbili ndani hapelekwe hospitali ukiuliza unaambiwa mambo ya Hela..
 
Screenshot_20240704-205145~2.jpg
 
Back
Top Bottom