Maskini Wilbroad Slaa alidhani yeye ni shujaa kumbe alisahau zama zake zilimalizwa na Hayati Magufuli

Maskini Wilbroad Slaa alidhani yeye ni shujaa kumbe alisahau zama zake zilimalizwa na Hayati Magufuli

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
16,950
Reaction score
13,527
Friends and Enemies,

Maisha ya Wilbroad Slaa kisiasa na kiuzalendo yalifika Kikomo pale ambapo aliwakana wapinzani wenzake enzi za Rais John Magufuli na kukimbilia mkate wa kuwa balozi huko Canada.

Wilbroad Slaa, wakati wapinzani wanapambania demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari na Utawala Bora katika awamu hii iliyopita, yeye aliwageuka na kutugeuka watanzania hadi kufikia hatua ya kusema kwamba hakuna haja ya katiba mpya, Rais JPM aachwe ainyooshe nchi.

Kama hiyo haitoshi, kipindi wenzake wamepewa kesi za kubumba na mwendazake ambapo hata hivyo Mh Rais Samia alikuja kuzifuta yeye aliwasagia kunguni na kusema hao siyo wapinzani,ni wapinga maendeleo.

Leo hii zama zimembadilikia na anaonekana kwenda kuozea selo hakuna hata chama Cha siasa kutoka upinzani kinachohangaika nae, Wilbroad Slaa amepuuzwa kama vile ambavyo yeye aliwapuuza wenzake.

Ama hakika kuimba ni kupokezana,Unafiki,Njaa na Uchu wa madaraka wa Wilbroad Slaa na tamaa zake za fisi zimepelekea awe na mwisho wa fedheha katika siasa za Tanzania...
 
Waleykum Salaaam.

Hawa wapuuzi hawajui kama Urais ni taasisi wanaweza kumtukana kiongozi na kumkashifu wakabaki salama Rais alikuwa kimya wanataka kumpanda kichwani mbona wakati wa Jiwe wote walikuwa kimya pumbavu.
walikuwa wanatest mitambo, sasa wanalialia nini,
 
Buzwagi mkataba miaka 100 hamna hata Padri mmoja au Wanashria uchwara wametoa tamko.
Siyo lazima mapadri watoe tamko
Hata mashehe wanaweza kutoa tamko.
 
Jitokeze basi na mungu wako uitishe maandamano oune kama mungu wako atakusaidia.
DP world hatachukuwa bandari. Narudia tena. Hawatachukuwa. Hata mngemteremsha huyo Allah wenu aje awasaidie lakini hataweza.
 
Waleykum Salaaam.

Hawa wapuuzi hawajui kama Urais ni taasisi wanaweza kumtukana kiongozi na kumkashifu wakabaki salama Rais alikuwa kimya wanataka kumpanda kichwani mbona wakati wa Jiwe wote walikuwa kimya pumbavu.
Mbona Dr Slaa alikuwa wamoto sana enzi za Kikwete lakini Kikwete hajawai kumkamata.Unadhani ni Kwanini? Kikwete alikuwa anajua nguvu yake ambayo Samia haijui!
 
Kwani Samia kesi anayompa Dr Slaa si ni ya kubumba pia kama ambavyo Mbowe alipewa ya Ugaidi.CCM na serikali Yao ni walewale,hawatakaa wabadilike,ata Samia naye ni Dikteta kama watangulizi wake walivyokuwa; udikteta ni Utamaduni wa CCM!
Na udikteta umuombe Mungu ufe ukiwa madarakani kwani ukitoka madarakani na udikteta wako lazima moto utauona na hutaamini.
 
machawa wa mama mnatafuta kisingizio Cha udhalimu mnaoutenda. Swala la bandari halitafutika kamwe kwenye mioyo ya watangantika hata wakimzuia au kumdhuru Dr. Slaa wakina Slaa wengine 100 wataibuka.
 
Darasa likijengwa kajenga Samia na sio Jamhuri, hospitali au hata barabara. Lakini kwa mambo mabaya mnamkwepesha yeye mnasema ni Jamhuri! Jamhuri ndio nani huyo kama sio yeye tena?
Una moyo sana wa kuhangaika na hilo zuzu.
 
Una moyo sana wa kuhangaika na hilo zuzu.
Asante kwa ushauri. Linauzi sana hili jamaa, linataka kuleta mambo yao ya Alshabab humu na tusipolijibu linadhani limetuchota
 
Huyo babu ni mnafiki wa kutupwa ni vyema mama amwondolee hadhi ya ubalozi,ni matumizi mabaya kodi yetu
 
Back
Top Bottom