Maskini Wilbroad Slaa alidhani yeye ni shujaa kumbe alisahau zama zake zilimalizwa na Hayati Magufuli

Maskini Wilbroad Slaa alidhani yeye ni shujaa kumbe alisahau zama zake zilimalizwa na Hayati Magufuli

Slaa ni mwana ccm kindakindaki lini alikuwa mpinzani? Huko anakoenda ni mkakati wa kupotezea mambo muhimu kujadiliwa ya kitaifa. Mkimsigina kuwa ni msaliti hiyo ni kazi yake ya kimkakati hakuna shida hapo. Shangaeni wale wapinzani waliobaki kimya bila kufurukuta kuhusu mkataba wa DP World wakati wapinzani wenzao wanafurukuta kuokoa taifa lisimezwe na huo mkataba tata wa bandari
 
Back
Top Bottom