Maskini Z Anto

Maskini Z Anto

bomouwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Posts
1,149
Reaction score
800
Kweli mziki wa bongo jamani ni shidaa... maana katika hali halisi kama hujajipanga kimaisha na ukashiba masifa kichwani bila hela mfukoni yaani ni balaaa.

Jana nilikua uwanja wa ndege wa mwalimu Nyerere hapa Dar, nilikuwa namsindikiza mtu mida ya saa tisa kasoro,basi kwenye kibanda cha air Tanzania kilichopo upande wa departure pale nikawa naangalia nikaona kama vile alieimba "binti kiziwi" ila nikasema kwa jinsi alivohit vile haiwezekani akawa anakatisha tiketi, khaaaaaa!kwani kasoma air ticketing au ndo exposure imempa kazi?(nilikuwa najiuliza maana msafiri alitakiwa kucheck in ni saa kumi na mbili jioni na muda huo ilikuwa saa tisa kasoro ndio maana nikawa na muda wa kujiuliza).

Lakini kama anafanya kazi ya bookings and reservations kwenye shirika la air Tanzania basi ntakuwa na somo kichwani.

KAMA PALE NDO KAZINI BWANA ANTON BASI HONGERA NA POLE.
USHAURI
ACHENI MBWEMBWE WASANII.

WANAMUZIKI MSIBWETEKE, WEKEZENI KWA AJILI YA KESHO NA MLEWE HELA BENKI NA SIO SIFA JAMANI.
 
Tatizo hapo nn?kufanya kazi au?anaweza fanya hyo kaz akitoka job akafanya music kwan hakuna zambi yeyote kujiongezea kipato,kuwa na mawazo chanya na sio mgando kama hayo hapo juu.
 
Wacha apigike maana hivyo vinyimbo vikihit inakuwa taaabu
 
Tatizo hapo nn?kufanya kazi au?anaweza fanya hyo kaz akitoka job akafanya music kwan hakuna zambi yeyote kujiongezea kipato,kuwa na mawazo chanya na sio mgando kama hayo hapo juu.
Sawa ila ukweli kijina amefua sana alikuwa bodaboda kigambonino
 
Tatizo hapo nn?kufanya kazi au?anaweza fanya hyo kaz akitoka job akafanya music kwan hakuna zambi yeyote kujiongezea kipato,kuwa na mawazo chanya na sio mgando kama hayo hapo juu.

tatizo sio kufanya hiyo kazi.. issu ni mantiki ndugu,unajua kwa administative concept hiyo tungesema ni demotion kwake lakini si kwamba anajitaftia kipato ila hana altenative,kama pale atakua kaajiriwa.hivi leo hii umkute mtu kama prof anauza line za tigo utasema anajitafutia?think globally
 
Yaani mtu katoka kwenye kazi isiyo na kipato maalum sasa anafanya shughuli yenye uhakika wa kipato unaita demotion? Waulize wanamuziki vipato vyao, havina structure hawana tofauti na kibarua sasa huyu anafanya kazi kila mwezi uhakika tena shirika la serikali unaita demotion? Ahaa wewe!
 
Hongera Z-Anto kwa kupata kazi Air Tanzania sasa na wewe ni muajiriwa wa serikali ambapo watu wengi wanatolea macho.
 
tatizo sio kufanya hiyo kazi.. issu ni mantiki ndugu,unajua kwa administative concept hiyo tungesema ni demotion kwake lakini si kwamba anajitaftia kipato ila hana altenative,kama pale atakua kaajiriwa.hivi leo hii umkute mtu kama prof anauza line za tigo utasema anajitafutia?think globally

Sasa we unatakaje akaibe au afanye kazi?
 
Halafu vijana wakijisunda sembe kuweka heshima mjini mnaleta zogo!
 
Nini Mnyalu yuko wapi Qchilla,Mr Nice Je Daz Baba?
Mnyalu Nilikuwa namuonaga pale tume ya science kijitonyama tulikuwa tunafanyaga project za chuo sasa sijui yy alikuwa anafanya nn
 
Back
Top Bottom