bomouwa
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,149
- 800
Kweli mziki wa bongo jamani ni shidaa... maana katika hali halisi kama hujajipanga kimaisha na ukashiba masifa kichwani bila hela mfukoni yaani ni balaaa.
Jana nilikua uwanja wa ndege wa mwalimu Nyerere hapa Dar, nilikuwa namsindikiza mtu mida ya saa tisa kasoro,basi kwenye kibanda cha air Tanzania kilichopo upande wa departure pale nikawa naangalia nikaona kama vile alieimba "binti kiziwi" ila nikasema kwa jinsi alivohit vile haiwezekani akawa anakatisha tiketi, khaaaaaa!kwani kasoma air ticketing au ndo exposure imempa kazi?(nilikuwa najiuliza maana msafiri alitakiwa kucheck in ni saa kumi na mbili jioni na muda huo ilikuwa saa tisa kasoro ndio maana nikawa na muda wa kujiuliza).
Lakini kama anafanya kazi ya bookings and reservations kwenye shirika la air Tanzania basi ntakuwa na somo kichwani.
KAMA PALE NDO KAZINI BWANA ANTON BASI HONGERA NA POLE.
USHAURI
ACHENI MBWEMBWE WASANII.
WANAMUZIKI MSIBWETEKE, WEKEZENI KWA AJILI YA KESHO NA MLEWE HELA BENKI NA SIO SIFA JAMANI.