umechemsha ,kuna kufanya muziki kama kazi na burudani,huyu alitoa burudani akatutolea stress sasa tatizo liko wapi yeye kuajiriwa huwezi kujua kupitia kukata tiketi after ten years atakuwa nani ,think locally act globally,jifunze kwa rais wako jk,aligraduate mwaka 1975 kipindi hicho digrii holder wachache lakini akawa katibu wa ccm wilaya kadhaa leo unapaki kibajaj chako anapita na ving'ora
Mtaani nyumba yao ndiyo haina umeme. Ni ya vyumba viwili na milango imegeukia barabarani,ukipita godoro liko chini. Pembeni ni nyumba yao ya zamani. Yaani ukija mtaani kwetu kama nakuelekeza ninapoishi,nakwambia ulizia kwa kina Z.Anto.
Mnyalu Nilikuwa namuonaga pale tume ya science kijitonyama tulikuwa tunafanyaga project za chuo sasa sijui yy alikuwa anafanya nn
Kwa hiyo ulitaka asifanye kazi auu???
Inasikitisha mchizi unakaa nae mtaa mmoja halafu unakuja kum-diss online haijakaa poa inaonekana kipindi kile anatesa na starlet yake na binti kiziwi akiwa ndani ulikuwa unataka kupasuka!
nasikia binti kiziwi alinyongwa ni kweli maana mwanzo nilisikia kafungwa.