Maskini Z Anto

Maskini Z Anto

umechemsha ,kuna kufanya muziki kama kazi na burudani,huyu alitoa burudani akatutolea stress sasa tatizo liko wapi yeye kuajiriwa huwezi kujua kupitia kukata tiketi after ten years atakuwa nani ,think locally act globally,jifunze kwa rais wako jk,aligraduate mwaka 1975 kipindi hicho digrii holder wachache lakini akawa katibu wa ccm wilaya kadhaa leo unapaki kibajaj chako anapita na ving'ora
 
mi nachojuj hapo jamaa atakua anapokea si chin ya 400 k per month angalau ana kaz hzo kaz kwa kina mr.nice bado ndoto
 
Sasa ukimwona Pingu si ndio utachoka!
Huwa anaonekana pande za msewe ubungo amechoka balaa, kuna mahali huwa namwona ananunua chips kavu na maji ya kandoro yale ya kwenye viroba.
 
Kuna ubaya yeye kufanya kazi air tanzania?
 
Wasanii wa bongo fleva hawana issue kwani ule ni msukule tu na wala si muziki kweli. Muziki gani wa kuiba beats za watu kisha unadai hati miliki, kazi yako?
 
umechemsha ,kuna kufanya muziki kama kazi na burudani,huyu alitoa burudani akatutolea stress sasa tatizo liko wapi yeye kuajiriwa huwezi kujua kupitia kukata tiketi after ten years atakuwa nani ,think locally act globally,jifunze kwa rais wako jk,aligraduate mwaka 1975 kipindi hicho digrii holder wachache lakini akawa katibu wa ccm wilaya kadhaa leo unapaki kibajaj chako anapita na ving'ora

Huyu alikuwaga mvivu wa kufikiri tangu zamani..Si unamuona alivyo?
 
Umbea huwa unawasha...sasa alivyomuona tu akawashwa na sehemu ya kupata wakunaji ni Jf,na akimuona Ray c pia Mamantilie atakuja tena.Vipi ungemkuta kawa omba omba si ungeenda global kabisa.
 
Mtaani nyumba yao ndiyo haina umeme. Ni ya vyumba viwili na milango imegeukia barabarani,ukipita godoro liko chini. Pembeni ni nyumba yao ya zamani. Yaani ukija mtaani kwetu kama nakuelekeza ninapoishi,nakwambia ulizia kwa kina Z.Anto.
 
Inasikitisha mchizi unakaa nae mtaa mmoja halafu unakuja kum-diss online haijakaa poa inaonekana kipindi kile anatesa na starlet yake na binti kiziwi akiwa ndani ulikuwa unataka kupasuka!
ZAnto.jpg
 
Last edited by a moderator:
Mnyalu Nilikuwa namuonaga pale tume ya science kijitonyama tulikuwa tunafanyaga project za chuo sasa sijui yy alikuwa anafanya nn

Mnyalu aliacha mziki kitambo akaingia CBE Dsm akafanya kozi ya uhasibu(nakumbuka Salama akiwa EATV na kipindi cha planet bongo aliwahi kumhoji ktk mazingira ya chuo pale CBE), then akarudi kwao unyaluni(iringa), last time i saw him, alikuwa ni accountant kwenye family business(nlikuwa na wahindi flani Dar, dogo alikuja kufanya payments flani kwa ajili ya spares za magari ya dingi wake, nlimuuliza akasema yupo IR na family issues....anyways ni kitambo sana, back in 2007 hiyo).

By the way, maisha ni sinusoidal unless kama unaishi maisha ya kwenye Cinema. Mwacheni kijana achape kazi, apate kipato akaendeshe familia yake.....!
 
Inasikitisha mchizi unakaa nae mtaa mmoja halafu unakuja kum-diss online haijakaa poa inaonekana kipindi kile anatesa na starlet yake na binti kiziwi akiwa ndani ulikuwa unataka kupasuka!
ZAnto.jpg

nasikia binti kiziwi alinyongwa ni kweli maana mwanzo nilisikia kafungwa.
 
Last edited by a moderator:
Sijaelewa kabisa, sasa sijui mleta Uzi alitaka Z Anto asifanye kazi au alitaka nini?!
Mbona Jide alikuwa mwanamuziki na wakati huohuo alikuwa mtangazaji wa Clouds FM?
Hebu fafanua mantiki yako kwa uzi huu pengine naweza kukuelewa ulichokusudia.
Ova
 
Back
Top Bottom