Hahaa kwahiyo wasanii wote waloenda fiesta kina weusi, navy kenzo, fid Q, Bella n.k, bila kumsahau king ni wajinga? Ila ruby tu ndo mjanja? Hahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngacheka mieHayo unayasema wewe , muda utaongea kama kweli jukwaa na ruby nani anamuhitaji mwenzie maswala ya kupewa promo kisha unyimwe uhuru wako yamepitwa na wakati.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Tamasha gani wasanii wanapakiwa kwenye coasta utazani wanaenda depo jkt
kwanza bora asivyokuwepo!!Aliwahi kumpeleka mahakamani nani? Kwa issue kama hizi unaweza kumpeleka mahakamani featured act lakini sio yule ambae awepo au asiwepo bado hana effect yoyote kwenye show!!! Endapo Wiz Kid asingetokea pale, raia wasingeelewa but who cared kwamba Ruby hakutokea?!!
Hahahaa! Yaani we unasema bora asingekuwepo "commando?!" Siku moja nilimsikia Said Fella akizungumzia kwanini Ruby hakutokea kwenye video ya Yamoto! Yaani ilikuwa ukimsikiliza kwa makini, unagundua kabisa Fella kuna kitu hakutaka kukianika kuhusu Ruby... akaamua tu kutumia busara hasa ukizingatia hadi kesho Ruby yupo THT!!kwanza bora asivyokuwepo!!
maana angepoteza muda tu pale!!
hahaaahaaa!yatamkuta ruby hayo siku si nyingi naonaHahahaa! Yaani we unasema bora asingekuwepo "commando?!" Siku moja nilimsikia Said Fella akizungumzia kwanini Ruby hakutokea kwenye video ya Yamoto! Yaani ilikuwa ukimsikiliza kwa makini, unagundua kabisa Fella kuna kitu hakutaka kukianika kuhusu Ruby... akaamua tu kutumia busara hasa ukizingatia hadi kesho Ruby yupo THT!!
Halafu nimekumbuka kuhusu suala la Ruby kwa THT isije napo ikawa ni tatizo lingine!! Unajua zamani kuna mwana-TMK wetu mmoja aliingia kwenye management fulani hivi (jina kapuni lakini unaweza kufanya maths mwenyewe)!! Sasa yule mwanetu life lake kitaa lilikuwa la kawaida sana-- c unajua watoto wa Temeke!
Alipoingia kwenye ile management, jamaa wakaanza kumpiga na pamba za kufa mtu; raba za maana na mambo mengine kama hayo! Yaani mshikaji akaanza kupata huduma! Ikawa mshikaji kila anachotaka anapata! Alivyokuwa f'ara (but sote enzi hizo tulikuwa maf'ara), hakujua kwamba jamaa walikuwa wanaandikia kila wanachompatia... kuanzia kwenye outfits hadi kwenye misosi... vyote vilikuwa vinaingizwa kwenye hesabu!!
Kuja kugonga copy sasa!! Jamaa wakaanza kupiga hesabu ya gharama walizotumia kuanzia recording, pamba, transport hadi misosi!! Ilikuwa ugomvi mkubwa... kwamba wanamdhulumu!!
Sasa huyu Ruby asije akadhani zile services anazopata pale THT ni sadaka!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] c ndo hapo sasa alafu hajijui tu Kama Ana nyota ya kungunimafanikio hayaji kwa haraka huyo rubby ana mziki gani wa kuteka mashabiki amesahau wakina blue walipotoka[emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23]Hahahaa! Yaani we unasema bora asingekuwepo "commando?!" Siku moja nilimsikia Said Fella akizungumzia kwanini Ruby hakutokea kwenye video ya Yamoto! Yaani ilikuwa ukimsikiliza kwa makini, unagundua kabisa Fella kuna kitu hakutaka kukianika kuhusu Ruby... akaamua tu kutumia busara hasa ukizingatia hadi kesho Ruby yupo THT!!
Halafu nimekumbuka kuhusu suala la Ruby kwa THT isije napo ikawa ni tatizo lingine!! Unajua zamani kuna mwana-TMK wetu mmoja aliingia kwenye management fulani hivi (jina kapuni lakini unaweza kufanya maths mwenyewe)!! Sasa yule mwanetu life lake kitaa lilikuwa la kawaida sana-- c unajua watoto wa Temeke!
Alipoingia kwenye ile management, jamaa wakaanza kumpiga na pamba za kufa mtu; raba za maana na mambo mengine kama hayo! Yaani mshikaji akaanza kupata huduma! Ikawa mshikaji kila anachotaka anapata! Alivyokuwa f'ara (but sote enzi hizo tulikuwa maf'ara), hakujua kwamba jamaa walikuwa wanaandikia kila wanachompatia... kuanzia kwenye outfits hadi kwenye misosi... vyote vilikuwa vinaingizwa kwenye hesabu!!
Kuja kugonga copy sasa!! Jamaa wakaanza kupiga hesabu ya gharama walizotumia kuanzia recording, pamba, transport hadi misosi!! Ilikuwa ugomvi mkubwa... kwamba wanamdhulumu!!
Sasa huyu Ruby asije akadhani zile services anazopata pale THT ni sadaka!
Na wote hatujauona mkataba,huenda kuna incentives walikubaliana na hawajatimiza,labda pande zote ziongee au mkataba uwekwe wazi,ila kama una kumbukumbu kelele za WASANII juu ya USANII wa FIESTA si za RUBBY zimeanza muda sanaKwann alisaini mkataba? Na pia anaonekana so excited , kwan kwenye huo mkataba hakukuwa na kipengere cha malipo, kubali kwamba huyo super diva wenu amebugi afu hajiamin na siku zote MTU anayependa kuongozwa na wapambe mwisho huwa ni wa mashaka, [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Kwa grounds zipi?wote walipotea kimuziki waligombana na clouds??????/Ruby nawe umekuwa kinega, umeshatafuta kazi nyingine ya kufanya? Maana nahisi ndo ushajizika rasmi kwenye muziki
Mikataba kila mara inasainiwa na inavunjwaYale makaratasi tu ya show off za tv , na akashitakiwe basi
Kumbukumbu zangu kuhusu kulalamika Fiesta nafahamu ni Jide... kama kuna mwingine, to be honest, sijawahi kusikia labda unikumbushe! Ninachofahamu, majority ya wasanii huwa wanaisubiri Fiesta kwa hamu! Unaweza kukuta msanii yupo kimya kwa muda mrefu, lakini akiona Fiesta inakaribia, wengine utakuta wanatoa single ili wakumbukwe kwenye ufalme wa Fiesta! Tunaweza kuwachukia Clouds au Ruge tutakavyo lakini huo ndio ukweli wenyewe!Na wote hatujauona mkataba,huenda kuna incentives walikubaliana na hawajatimiza,labda pande zote ziongee au mkataba uwekwe wazi,ila kama una kumbukumbu kelele za WASANII juu ya USANII wa FIESTA si za RUBBY zimeanza muda sana
Endeleeni kumtia ujinga ingawaje mnafahamu hamna msaada wowote kwake!! Endleeni kumtia ujinga kwa mambo ambayo hata wenyewe hamjawahi kuyafanya!!!Mikataba kila mara inasainiwa na inavunjwa
Mdau,wewe kama huamini katika kuthubutu basi hata jiwe lina afadhali,wewe litaka Rubby afanyeje labda?Endeleeni kumtia ujinga ingawaje mnafahamu hamna msaada wowote kwake!! Endleeni kumtia ujinga kwa mambo ambayo hata wenyewe hamjawahi kuyafanya!!!
Yeye kwa mujibu wa mtoa mada ameona mkataba haulipi,kwa hadhi yake,,,,soma post #1,sasa yeye ameshajivalue kuwa haimlipi,nakupa mfano mmoja ulitaka Rubby akubali kwakua hao wasanii wengine wanakubali kuzunguuka?its nonsense mdau.Halafu usidhani kila mtu anaweza kufanya jambo kwa mtazamo wako,Kumbukumbu zangu kuhusu kulalamika Fiesta nafahamu ni Jide... kama kuna mwingine, to be honest, sijawahi kusikia labda unikumbushe! Ninachofahamu, majority ya wasanii huwa wanaisubiri Fiesta kwa hamu! Unaweza kukuta msanii yupo kimya kwa muda mrefu, lakini akiona Fiesta inakaribia, wengine utakuta wanatoa single ili wakumbukwe kwenye ufalme wa Fiesta! Tunaweza kuwachukia Clouds au Ruge tutakavyo lakini huo ndio ukweli wenyewe!
Jide alilalamika kwamba maslahi ni kidogo na yeye alitaja kabisa kiwango kwamba Sh. laki 8. Kama umemsikiliza Ruby, sio kwamba analalamika maslahi ni kidogo bali anachelea kutolipwa! Binafsi sijawahi kusikia msanii ameacha kulipwa Fiesta! Lakini pia nashangaa, inakuwaje wote hao wasiwe na shaka ya kutolipwa lakini ni yeye tu ndo ahofu kutolipwa!
Mnachanganya mambo... huko sio kuthubutu bali ni kukiuka makubaliano! Kukiuka makubaliano hakuwezi kuitwa kuthubutu zaidi ya kuonesha kwamba hayupo makini kwenye shughuli zake! Mtaleta hoja nyingi kutetea udhaifu huo kama ile mliyosema kwamba mikataba inafungwa na kuvunjwa lakini bado hiyo haiondoi ukweli kwamba ameonesha ni mtu asiye makini vinginevyo asingeanza kushangilia Fiesta kabla hajajua what's behind her contract!Mdau,wewe kama huamini katika kuthubutu basi hata jiwe lina afadhali,wewe litaka Rubby afanyeje labda?
Yaani kama mnaamini bint atapotea kwa kutojihusisha na FIESTA basi hayo ni mawazo mfu,mwacheni bint wa watu akomae,kwenye maisha kuna ku risk, gambling na wanaofanya hayo ndio wanaofanikiwa,unaweza ukakaa miaka ukisubiri bint afulie halafu asifulie,mi labda nikupe Homework,hebu niambie Mwasiti wa THT ya clauz keo yuko wapi?kwani aligombana nao?mziki ni biashara kama ilivyo mchungwa au huduma yeyote ni kujipanga tu.Nakuusia usiwe mwoga sana kwenye harakat za kutafta rizki.
Hakuna anayempa ujinga Ruby ila anapongezwa kwa alilolifanya,ni kwa mustakabali wa maisha yake.
Mimi sizungumzii mleta mada bali nazungumzia sauti ya Ruby mwenyewe! Nikipata muda naweza ku-attach audio voice yake hapa... anaonesha kuwa na wasiwasi wa kulipwa! Anachodai ni kwamba, mkataba ambao alisaini ni wa kukubali kufanya show Mwanza na alichogoma yeye ni kusaini kwamba amelipwa kiasi fulani wakati hajalipwa! Kwenye sauti yake ile hakuna popote aliposema suala la maslahi kiduchu!Yeye kwa mujibu wa mtoa mada ameona mkataba haulipi,kwa hadhi yake,,,,soma post #1,sasa yeye ameshajivalue kuwa haimlipi,nakupa mfano mmoja ulitaka Rubby akubali kwakua hao wasanii wengine wanakubali kuzunguuka?its nonsense mdau.Halafu usidhani kila mtu anaweza kufanya jambo kwa mtazamo wako,
mkuu umenikumbusha PNC kwa ustadh Juma Namusoma,yani PNC alikuwa anatia huruma balaa.Wansemaga hivyo hivyo mwisho wa siku wanaenda kuwapigia magoti