Mdau,wewe kama huamini katika kuthubutu basi hata jiwe lina afadhali,wewe litaka Rubby afanyeje labda?
Yaani kama mnaamini bint atapotea kwa kutojihusisha na FIESTA basi hayo ni mawazo mfu,mwacheni bint wa watu akomae,kwenye maisha kuna ku risk, gambling na wanaofanya hayo ndio wanaofanikiwa,unaweza ukakaa miaka ukisubiri bint afulie halafu asifulie,mi labda nikupe Homework,hebu niambie Mwasiti wa THT ya clauz keo yuko wapi?kwani aligombana nao?mziki ni biashara kama ilivyo mchungwa au huduma yeyote ni kujipanga tu.Nakuusia usiwe mwoga sana kwenye harakat za kutafta rizki.
Hakuna anayempa ujinga Ruby ila anapongezwa kwa alilolifanya,ni kwa mustakabali wa maisha yake.