Maslahi madogo Clouds yamtoa Ruby Fiesta

Hayo unayasema wewe , muda utaongea kama kweli jukwaa na ruby nani anamuhitaji mwenzie maswala ya kupewa promo kisha unyimwe uhuru wako yamepitwa na wakati.
Hahaa kwahiyo wasanii wote waloenda fiesta kina weusi, navy kenzo, fid Q, Bella n.k, bila kumsahau king ni wajinga? Ila ruby tu ndo mjanja? Hahaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngacheka mie
 
mafanikio hayaji kwa haraka huyo rubby ana mziki gani wa kuteka mashabiki amesahau wakina blue walipotoka[emoji23][emoji23]
 
Aliwahi kumpeleka mahakamani nani? Kwa issue kama hizi unaweza kumpeleka mahakamani featured act lakini sio yule ambae awepo au asiwepo bado hana effect yoyote kwenye show!!! Endapo Wiz Kid asingetokea pale, raia wasingeelewa but who cared kwamba Ruby hakutokea?!!
kwanza bora asivyokuwepo!!

maana angepoteza muda tu pale!!
 
kwanza bora asivyokuwepo!!

maana angepoteza muda tu pale!!
Hahahaa! Yaani we unasema bora asingekuwepo "commando?!" Siku moja nilimsikia Said Fella akizungumzia kwanini Ruby hakutokea kwenye video ya Yamoto! Yaani ilikuwa ukimsikiliza kwa makini, unagundua kabisa Fella kuna kitu hakutaka kukianika kuhusu Ruby... akaamua tu kutumia busara hasa ukizingatia hadi kesho Ruby yupo THT!!

Halafu nimekumbuka kuhusu suala la Ruby kwa THT isije napo ikawa ni tatizo lingine!! Unajua zamani kuna mwana-TMK wetu mmoja aliingia kwenye management fulani hivi (jina kapuni lakini unaweza kufanya maths mwenyewe)!! Sasa yule mwanetu life lake kitaa lilikuwa la kawaida sana-- c unajua watoto wa Temeke!

Alipoingia kwenye ile management, jamaa wakaanza kumpiga na pamba za kufa mtu; raba za maana na mambo mengine kama hayo! Yaani mshikaji akaanza kupata huduma! Ikawa mshikaji kila anachotaka anapata! Alivyokuwa f'ara (but sote enzi hizo tulikuwa maf'ara), hakujua kwamba jamaa walikuwa wanaandikia kila wanachompatia... kuanzia kwenye outfits hadi kwenye misosi... vyote vilikuwa vinaingizwa kwenye hesabu!!

Kuja kugonga copy sasa!! Jamaa wakaanza kupiga hesabu ya gharama walizotumia kuanzia recording, pamba, transport hadi misosi!! Ilikuwa ugomvi mkubwa... kwamba wanamdhulumu!!

Sasa huyu Ruby asije akadhani zile services anazopata pale THT ni sadaka!
 
hahaaahaaa!yatamkuta ruby hayo siku si nyingi naona
atafulia sasa hv we muache tu
 
mafanikio hayaji kwa haraka huyo rubby ana mziki gani wa kuteka mashabiki amesahau wakina blue walipotoka[emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] c ndo hapo sasa alafu hajijui tu Kama Ana nyota ya kunguni
 
Hahahaa! Yaani we unasema bora asingekuwepo "commando?!" Siku moja nilimsikia Said Fella akizungumzia kwanini Ruby hakutokea kwenye video ya Yamoto! Yaani ilikuwa ukimsikiliza kwa makini, unagundua kabisa Fella kuna kitu hakutaka kukianika kuhusu Ruby... akaamua tu kutumia busara hasa ukizingatia hadi kesho Ruby yupo THT!!

Halafu nimekumbuka kuhusu suala la Ruby kwa THT isije napo ikawa ni tatizo lingine!! Unajua zamani kuna mwana-TMK wetu mmoja aliingia kwenye management fulani hivi (jina kapuni lakini unaweza kufanya maths mwenyewe)!! Sasa yule mwanetu life lake kitaa lilikuwa la kawaida sana-- c unajua watoto wa Temeke!

Alipoingia kwenye ile management, jamaa wakaanza kumpiga na pamba za kufa mtu; raba za maana na mambo mengine kama hayo! Yaani mshikaji akaanza kupata huduma! Ikawa mshikaji kila anachotaka anapata! Alivyokuwa f'ara (but sote enzi hizo tulikuwa maf'ara), hakujua kwamba jamaa walikuwa wanaandikia kila wanachompatia... kuanzia kwenye outfits hadi kwenye misosi... vyote vilikuwa vinaingizwa kwenye hesabu!!

Kuja kugonga copy sasa!! Jamaa wakaanza kupiga hesabu ya gharama walizotumia kuanzia recording, pamba, transport hadi misosi!! Ilikuwa ugomvi mkubwa... kwamba wanamdhulumu!!

Sasa huyu Ruby asije akadhani zile services anazopata pale THT ni sadaka!
[emoji23] [emoji23]
 
Ruby nawe umekuwa kinega, umeshatafuta kazi nyingine ya kufanya? Maana nahisi ndo ushajizika rasmi kwenye muziki
 
Kwann alisaini mkataba? Na pia anaonekana so excited , kwan kwenye huo mkataba hakukuwa na kipengere cha malipo, kubali kwamba huyo super diva wenu amebugi afu hajiamin na siku zote MTU anayependa kuongozwa na wapambe mwisho huwa ni wa mashaka, [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Na wote hatujauona mkataba,huenda kuna incentives walikubaliana na hawajatimiza,labda pande zote ziongee au mkataba uwekwe wazi,ila kama una kumbukumbu kelele za WASANII juu ya USANII wa FIESTA si za RUBBY zimeanza muda sana
 
Kumbukumbu zangu kuhusu kulalamika Fiesta nafahamu ni Jide... kama kuna mwingine, to be honest, sijawahi kusikia labda unikumbushe! Ninachofahamu, majority ya wasanii huwa wanaisubiri Fiesta kwa hamu! Unaweza kukuta msanii yupo kimya kwa muda mrefu, lakini akiona Fiesta inakaribia, wengine utakuta wanatoa single ili wakumbukwe kwenye ufalme wa Fiesta! Tunaweza kuwachukia Clouds au Ruge tutakavyo lakini huo ndio ukweli wenyewe!

Jide alilalamika kwamba maslahi ni kidogo na yeye alitaja kabisa kiwango kwamba Sh. laki 8. Kama umemsikiliza Ruby, sio kwamba analalamika maslahi ni kidogo bali anachelea kutolipwa! Binafsi sijawahi kusikia msanii ameacha kulipwa Fiesta! Lakini pia nashangaa, inakuwaje wote hao wasiwe na shaka ya kutolipwa lakini ni yeye tu ndo ahofu kutolipwa!
 
Endeleeni kumtia ujinga ingawaje mnafahamu hamna msaada wowote kwake!! Endleeni kumtia ujinga kwa mambo ambayo hata wenyewe hamjawahi kuyafanya!!!
Mdau,wewe kama huamini katika kuthubutu basi hata jiwe lina afadhali,wewe litaka Rubby afanyeje labda?
Yaani kama mnaamini bint atapotea kwa kutojihusisha na FIESTA basi hayo ni mawazo mfu,mwacheni bint wa watu akomae,kwenye maisha kuna ku risk, gambling na wanaofanya hayo ndio wanaofanikiwa,unaweza ukakaa miaka ukisubiri bint afulie halafu asifulie,mi labda nikupe Homework,hebu niambie Mwasiti wa THT ya clauz keo yuko wapi?kwani aligombana nao?mziki ni biashara kama ilivyo mchungwa au huduma yeyote ni kujipanga tu.Nakuusia usiwe mwoga sana kwenye harakat za kutafta rizki.
Hakuna anayempa ujinga Ruby ila anapongezwa kwa alilolifanya,ni kwa mustakabali wa maisha yake.
 
Kumbukumbu zangu kuhusu kulalamika Fiesta nafahamu ni Jide... kama kuna mwingine, to be honest, sijawahi kusikia labda unikumbushe! Ninachofahamu, majority ya wasanii huwa wanaisubiri Fiesta kwa hamu! Unaweza kukuta msanii yupo kimya kwa muda mrefu, lakini akiona Fiesta inakaribia, wengine utakuta wanatoa single ili wakumbukwe kwenye ufalme wa Fiesta! Tunaweza kuwachukia Clouds au Ruge tutakavyo lakini huo ndio ukweli wenyewe!

Jide alilalamika kwamba maslahi ni kidogo na yeye alitaja kabisa kiwango kwamba Sh. laki 8. Kama umemsikiliza Ruby, sio kwamba analalamika maslahi ni kidogo bali anachelea kutolipwa! Binafsi sijawahi kusikia msanii ameacha kulipwa Fiesta! Lakini pia nashangaa, inakuwaje wote hao wasiwe na shaka ya kutolipwa lakini ni yeye tu ndo ahofu kutolipwa!
Yeye kwa mujibu wa mtoa mada ameona mkataba haulipi,kwa hadhi yake,,,,soma post #1,sasa yeye ameshajivalue kuwa haimlipi,nakupa mfano mmoja ulitaka Rubby akubali kwakua hao wasanii wengine wanakubali kuzunguuka?its nonsense mdau.Halafu usidhani kila mtu anaweza kufanya jambo kwa mtazamo wako,
 
Mdau,wewe kama huamini katika kuthubutu basi hata jiwe lina afadhali,wewe litaka Rubby afanyeje labda?
Yaani kama mnaamini bint atapotea kwa kutojihusisha na FIESTA basi hayo ni mawazo mfu,mwacheni bint wa watu akomae,kwenye maisha kuna ku risk, gambling na wanaofanya hayo ndio wanaofanikiwa,unaweza ukakaa miaka ukisubiri bint afulie halafu asifulie,mi labda nikupe Homework,hebu niambie Mwasiti wa THT ya clauz keo yuko wapi?kwani aligombana nao?mziki ni biashara kama ilivyo mchungwa au huduma yeyote ni kujipanga tu.Nakuusia usiwe mwoga sana kwenye harakat za kutafta rizki.
Hakuna anayempa ujinga Ruby ila anapongezwa kwa alilolifanya,ni kwa mustakabali wa maisha yake.
Mnachanganya mambo... huko sio kuthubutu bali ni kukiuka makubaliano! Kukiuka makubaliano hakuwezi kuitwa kuthubutu zaidi ya kuonesha kwamba hayupo makini kwenye shughuli zake! Mtaleta hoja nyingi kutetea udhaifu huo kama ile mliyosema kwamba mikataba inafungwa na kuvunjwa lakini bado hiyo haiondoi ukweli kwamba ameonesha ni mtu asiye makini vinginevyo asingeanza kushangilia Fiesta kabla hajajua what's behind her contract!

Halafu narudia, jitahidi uwe unanisoma kwa vituo manake mara zote unaonekana kuchukua maoni ya watu wengine na ku-assume ndio maoni ya kila mtu! Hakuna popote niliposema atapotea! Na wala usidhani kwamba eti Clouds wataacha kupiga nyimbo zake... watu wanakuza tu roho mbaya ya Clouds. I am very certain Clouds wataendelea kupiga nyimbo zake labda mwenyewe azuie kama ambavyo Jide alifanya! Matatizo mengine ni ya wasanii wenyewe... sisi Watanzania ni hodari sana wa kutafuta mchawi kila tunaposhindwa! Utakuta mtu mzima na akili zake anakuambia Clouds ndio walinifanya nianze kutumia drugs... kama sio upumbavu tuite nini!!!

Narudia, nisome kwa vituo! Hoja yangu mara zote imekuwa ni kwamba, mosi, alichofanya Ruby ni kukiuka makubaliano jambo ambalo sio jema kwenye any line of business! Pili, ni kwamba Ruby bado ni mchanga sana kwenye game na hivyo anaihitaji Fiesta kuliko Fiesta inavyomuhitaji yeye! Ni watu wachache sana ambao tayari wameshamwelewa Ruby kwenye game! Kuna siku nilishawahi kuleta hoja hapa kuelezea ni namna gani naiona bright future ya Ruby kutokana na powerful voice aliyonayo Ruby! Nikachelea kuonekana nimetumwa au nakuza mambo kusema bayana kwamba she's better than ALL female musicians... and I still believe so! Lakini ingawaje sikumpamba sana but still no one understood me here kwa sababu huyo Ruby mwenyewe bado watu hawajamwelewa!!

Back then wakati najihusisha na haya mambo moja kwa moja nilijiwa na msanii mmoja akaniomba ushauri ikiwa ajiunge na kundi fulani! Jibu langu lilikuwa simple... JOIN THEM kwa sababu wenzako tayari wana experience na wana exposure vitu ambavyo si rahisi kuvipata kwenye hii tasnia. So, join them ili upate experience na exposure... hiki ndicho watu tunazungumzia!! At least unapojadili na mimi hili suala, forget about nyimbo zake kupigwa au kutopigwa... sijaegemea huko!

Jambo jingine nina mashaka ikiwa wote nyinyi mnafahamu how the entertainment industry works! Msije mkaleta mambo yenu ya kwenye sekta zingine kwenye entertainment industry...!! Na ndio maana kwa wenzetu walikoendelea... hata inapotokea dispute, you don't consult any lawyer simply because ni lawyer but you have to consult an entertainment lawyer! Ikiwa hamjawahi kujihusisha na hii sekta kwa namna yoyote ile; trust me hautakaa mkaja kunielewa kwa sababu mnataka ku-apply different sectorial environment to another unrelated environment!
 
Yeye kwa mujibu wa mtoa mada ameona mkataba haulipi,kwa hadhi yake,,,,soma post #1,sasa yeye ameshajivalue kuwa haimlipi,nakupa mfano mmoja ulitaka Rubby akubali kwakua hao wasanii wengine wanakubali kuzunguuka?its nonsense mdau.Halafu usidhani kila mtu anaweza kufanya jambo kwa mtazamo wako,
Mimi sizungumzii mleta mada bali nazungumzia sauti ya Ruby mwenyewe! Nikipata muda naweza ku-attach audio voice yake hapa... anaonesha kuwa na wasiwasi wa kulipwa! Anachodai ni kwamba, mkataba ambao alisaini ni wa kukubali kufanya show Mwanza na alichogoma yeye ni kusaini kwamba amelipwa kiasi fulani wakati hajalipwa! Kwenye sauti yake ile hakuna popote aliposema suala la maslahi kiduchu!

Sasa ndipo nimeuliza! Let's assume ni kweli alitakiwa kusaini kwamba amelipwa kiasi fulani wakati hajalipwa... je, hayo yalitokea kwake tu?! Pili, ikiwa huo ndio utaratibu wao; kwanini ni yeye tu ahofie kutolipwa na wengine wote wasihofie suala hilo?!

That's one but second, usisahau Ruby ana obligations kwa THT! Nimetoa mfano wa msanii wetu mmoja hapa ambae, yeye alikuwa anaona raha tu kununuliwa pamba, kugharamiwa usafiri, misosi n.k lakini hakujua (anyway, nilikuwa sehemu ya ujinga ule; kwahiyo hatukujua) kwamba wenzetu walikuwa wanaandika gharama zote wanazoingia! Hata wakimnunulia soda, jamaa walikuwa wanaingiza kwenye hesabu zao! Siku ya siku tunapiga copy, jamaa wakaanza kukata chao mapema ambacho wala hakikuwa akilini mwetu!

Ingawaje mwana alilalamika sana kwamba anadhulumiwa lakini deep inside my heart nilijua kwamba jamaa ni wafanya biashara kwahiyo hawakuwa wanatoa sadaka! Sasa anaweza kuona analipwa kidogo huku akisahau services anazotumia pale THT sio sadaka!!
 
Back
Top Bottom