Richolic
JF-Expert Member
- Jul 2, 2015
- 578
- 240
Hawajui tena hao watoto wa kiume bogas kabisa clouds sio ya lazima sana tusidanganyane kwanza siku iz tuna mitandao unaweza toka au kama vipi piga mishe zingine tuu unapoteza mda unaishia kupanga nyumba mpaka una miaka 50 upuuzi mtupuWe unaongea tu hujui usione wasanii wote wanaokubaliana na matakwa ya clouds kwamba ni wajinga wanajua wanachokifanya clouds ukifanya nao bifu na wakati huo hujajiweka vizur kimziki wanakutoa kwenye ramani, jide ni untouchable ndo maana walishindwa ,, kina Weusi, fid Q ,n.k usiwaone ni wajinga kuwa pale wanajua nn wanafanya.. Haya sasa huyo ruby Hana hta vinyimbo 5 kashaanza kujishebedua anataka alipwe million 10??