me and I
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 1,540
- 1,357
Wanacheza na mkataba haoishakula kwake ruby!!na hao wanaomsapoti sio kama tunaunga mkono malipo madogo ya clouds Ila kwa nn alisign contract?
hv hawa wasanii wetu hawajui maana ya mkataba?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanacheza na mkataba haoishakula kwake ruby!!na hao wanaomsapoti sio kama tunaunga mkono malipo madogo ya clouds Ila kwa nn alisign contract?
hv hawa wasanii wetu hawajui maana ya mkataba?!
Washauri wake wanammislead, maana hata walioperform ni watu kama yeye, alitakiwa hilo jambo asiliangalie kwenye angle ya kulipwa, aliangalie kwenye angle ya kutangwazwa na probaly kugrow katika music industry, kuna msemo "ALWAY AIM HIGH"hata kama hana ndo ulipwe laki moja? si bora akawe muhudumu mango garden?
Efm soko lake liko dar tu, anatakiwa kujipanua zaidikuna kitu efm mjini bwana
Umeonaeee na bado atafanya nao kwasababu anajua alikotoka sasa huyu mwenzangu na mie Hana hata nyimbo tano analeta nyodo shauri zakena huyo diamond hata Leo clouds wakimtaka kumtumia wanamtumia japo hawezi lipwa km anavyolipwa young killer au ruby Ila hawamlipi 50mils per show!!never!!!
Mfano Kama diamond amefanya fiesta ngapi? Na sa HV yuko wapi, sasa huyo ruby naye kashajiona level zake sio za fiesta[emoji3] [emoji3]Washauri wake wanammislead, maana hata waliperform ni watu kama yeye, alitakiwa hilo jambo kwenye angle ya kulipwa, aliangalie kwenye angle ya kutangwazwa na probaly kugrow katika music industry, kuna msemo "ALWAY AIM HIGH"
Mi naona kazungumza uhalisia wa mchezo huu nyuma ya pazia ulivyo sioni bifu hapo na sio bifu ilo labda upande wa pili wachukulie bifuMmmh ruby naye anajiweka kwa jide? Haya yetu macho isije tukaskia ameenda kumpigia magoti ruge ili nyimbo zake zipigwe , Jide ni komando wa kike bongo hakuna mwanamziki wa kike mwenye msimamo Kama wake, huyo ruby anayetengeneza kiki kila akitaka kutoa wimbo mpya ndo naye anaweka bifu na mawingu? Mmh ngoja tuone, mie ngoja nipite na zangu[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hawezi kufanana na weusi kwa malipo lakin pesa anyolipwa iwe na unafuu kidogo izi sio zama za kulipwa chini ya milion kwenye shoo za fiestaSio hawana hela mkuu wanamlipa MTU kulingana na ukubwa wa jina lake au nyimbo zake, weusi hawawez lipwa Kama ruby, naye huyo ruby anataka alipwe mamilioni kwa nyimbo gani?
Hapo kwenye "wengine" kina nani mm ninavojua kila MTU Ana mkataba wake wa malipo sasa Kama ruby kaambiwa laki 5 ni yeye ila usituaminishe kwamba na kina weusi, fid Q wanalipwa 5Ukweli ni huu hapa... Clouds walitaka kumpa Ruby laki 5 yeye alitaka million 2.. Inasemekana makubaliano ya awali ilikuwa ni million 2... Wengine walikubali kutokana na kwamba hawana namna na wanaitaji hiyo platform.
Kiukweli sielewi hii jeuri Ruby ametoa wapi, maana sio mara ya kwanza Rubi kufanya jeuri inapofika maslahi yake.. Maana kama ni bwana wa kumpa jeuri yule Mbeya ni kapuku tu... Sidhani kama hajui madhara ya kukataa kutumika na awa mabepari, maybe kaamua kuacha mziki usio na faida.
bora afanye mambo mengineHawezi kufanana na weusi kwa malipo lakin pesa anyolipwa iwe na unafuu kidogo izi sio zama za kulipwa chini ya milion kwenye shoo za fiesta
Dai anataka 70m wamemchomolea na kuna uwezekano asiwepo hata tamasha moja la fiesta mwaka huuNdio maana timu ya kina Dai hawajaenda huko Fiesta kutokana na malipo
Nyie ndo mnamshauri mwenzenu vibaya badala mumwambie avumilie huku akimuomba Mungu na aangalie waliotoaka kivyao kupitia clouds Kama kina Diamond, na pia akumbuke, Mvumilivu hula mbivu hakuna mafanikio ya haraka haraka, hivi nikuulize kwa akili yako unahisi shilole anweza kuimba? Lakn kapata jina kupitia clouds na anapiga show mpaka za nchi za nje sio kwamba Hana akili , Maisha yenyewe hayabora afanye mambo mengine
Natamani wasanii wote nchini wajitambue kama jide maana mpaka show ya fiesta inaisha tanzania nzima msanii anajikuta anamiliki kiwanja au nyumba