Maslahi madogo Clouds yamtoa Ruby Fiesta

Hawajui tena hao watoto wa kiume bogas kabisa clouds sio ya lazima sana tusidanganyane kwanza siku iz tuna mitandao unaweza toka au kama vipi piga mishe zingine tuu unapoteza mda unaishia kupanga nyumba mpaka una miaka 50 upuuzi mtupu
 
Wansemaga hivyo hivyo mwisho wa siku wanaenda kuwapigia magoti
Hiyo ilikuwa zamani, wanazungushwa kwenye Coaster nchi nzima kwa Laki 2. Ukigoma nyimbo zako hazipigwi. Kina Sugu waliwakataa mapema hawa wanyonyaji.

Clouds inapoteza umaarufu. Dar EFM inatawala, Mwanza Jembe FM.

Zile zama za kupigiwa magoti zinekwisha. Si mliona Bentley la Kusaga linapigwa mnada na TRA sasa ngojeni ule mjengo wa Mikocheni siku si nyingi mtaona unapigwa mnada na Bank.
 
Being underpaid is one thing,and being ''commando'' is another different story,...Asije tu akafungwa na mkataba waliowekeana awali(kama upo in the first place)..She is obliged to abide by contractual terms and conditions,or else........
we muache ajishebedua na kama kuna watu walimvuta mapembe itakula kwake!!
kwa nn alisaini mkataba?hawa wasanii uchwara hawaaa!!
 
Baada ya kick kuisha..Nimeamua kurudi clouds maana wao ndio waliofanya Watanzania wakanijua,kwakweli clouds imenilea mpaka kufikia hapa sina cha kuwapa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka Sana, yaani et ruby naye anataka alipwe Kama kina weus n.k, kwa nyimbo zipi
 
hongera sana rubyy wasanii wote mkiwa kama huyu binti itafika mahali hiyo redio itawaheshimu sio kazi mfanye ninyi halafu muishi watakavyo! by the way stations ni nyingi mtatoka tu! kila mtu keshawajua roho mbaya zao hawana muda.
 
si bora wasipinge tu ,tu afanye maisha mengine? kama mziki haulipi kwanini ulazimishe kuwa na jina wakati unateseka mjini? wasafii wa bongo akili hawana
 
unamkumbuka saida karoli..watu wamemla wee katupwa kule
 
Hawajui tena hao watoto wa kiume bogas kabisa clouds sio ya lazima sana tusidanganyane kwanza siku iz tuna mitandao unaweza toka au kama vipi piga mishe zingine tuu unapoteza mda unaishia kupanga nyumba mpaka una miaka 50 upuuzi mtupu
Ila kumbuka hapo ruby analalamika kwamba price ndogo, sasa alipwe mil. 10? Kwa nyimbo ngapi alizotoa yaani hako kadada kanaleta nyodo while tumekajua kupitia clouds
 
we muache ajishebedua na kama kuna watu walimvuta mapembe itakula kwake!!
kwa nn alisaini mkataba?hawa wasanii uchwara hawaaa!!
Yaani Mimi nawashangaa hawa wasanii wanaitegemea clouds lkn bado wanajishebedua
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka Sana, yaani et ruby naye anataka alipwe Kama kina weus n.k, kwa nyimbo zipi
Hahahaha!eti we aku ntamwambia mama..ntamwambia mama unanisumbua..yan wabongo hawaishi vimbwenga.
 
si bora wasipinge tu ,tu afanye maisha mengine? kama mziki haulipi kwanini ulazimishe kuwa na jina wakati unateseka mjini? wasafii wa bongo akili hawana
Hiyo ni hoja nyingine.
FAME ni tatizo kubwa sana. Sijui siku hizi wasanii wana ma meneja wanasimamia kazi na maslai yao, ila enzi nzetu ilikuwa ni aibu. Jamaa walikuwa wanapiga mizinga hadi basi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…