FYATU
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 5,567
- 4,683
Wanao msapport huyo Binti kwa hili ni kumpotosha tu.
Hivi ni mara ngapi hata wanaomaliza shule/vyuo hushauriwa kutafuta Ofisi wanapoweza kufanya kazi hata kwa kujitolea tu huku wakiendelea kutafuta kazi ya kuajiriwa/kujiajiri?...
Hivi leo wakijitokeza hao wanaolipa 'vizuri' huoni kuwa Binti angekuwa ameongeza CV yake kama angeperform kwenye jukwaa lile pamoja na Wasanii wakubwa badala ya kupoteza hiyo nafasi?
Na isitoshe kwa kipindi hiki nadhani Man Fongo angeumiza vichwa kwa kususia Fiesta lakini si Ruby ambaye sijui ni Watanzania wangapi wanaoweza kuimba wimbo wake hata mmoja japo chorus tu.