Maslahi madogo Clouds yamtoa Ruby Fiesta

Wanao msapport huyo Binti kwa hili ni kumpotosha tu.

Hivi ni mara ngapi hata wanaomaliza shule/vyuo hushauriwa kutafuta Ofisi wanapoweza kufanya kazi hata kwa kujitolea tu huku wakiendelea kutafuta kazi ya kuajiriwa/kujiajiri?...

Hivi leo wakijitokeza hao wanaolipa 'vizuri' huoni kuwa Binti angekuwa ameongeza CV yake kama angeperform kwenye jukwaa lile pamoja na Wasanii wakubwa badala ya kupoteza hiyo nafasi?

Na isitoshe kwa kipindi hiki nadhani Man Fongo angeumiza vichwa kwa kususia Fiesta lakini si Ruby ambaye sijui ni Watanzania wangapi wanaoweza kuimba wimbo wake hata mmoja japo chorus tu.
 
Mnaonekana hamjiamin NA hii ni hatar sana kwa afya ya maendeleo

Ni jambo zuri NA lenye manufaa pale unapooamua kusimama ww kama ww ktka shughuli zako bila kuwa tegemezi kwa fulan maana siku unayemtegemea akiacha kukusaidia bas unarudi zero and the vice versa is true.....
Wansemaga hivyo hivyo mwisho wa siku wanaenda kuwapigia magoti

mh Ruby ubavu wa kutunishiana na Clouds anautoa wapi? ngoja tuone mwisho wake, wanasema ivyo mwisho tunawaona wanaenda kupiga magoti.
 
Daah,ukubwa wote wa onyesho bado wanawapunja wasanii?, inashangaza,lakini kuweka ligi na mawingu huyu binti anaweza potea,maana jamaa kwa fitna hawajambo..
 
Being underpaid is one thing,and being ''commando'' is another different story,...Asije tu akafungwa na mkataba waliowekeana awali(kama upo in the first place)..She is obliged to abide by contractual terms and conditions,or else........
We ulipita Ki halali pale Law School
 
Umenena kweli,nakubaliana na wewe katika yote uliyoyaandika hapa.
 
Mkuu unayosema ni kweli ruby ananikumbusha kipindi cha mpito nilichopitia kabla ya kusimama mimi kama mimi nilikuwa na mdhamini wangu aliyenilipia ada na mahitaji mengine kwa kipind cha miaka 9 mda wote huo nilikuwa nikiishi kwake mpaka nimemaliza chuo.nilipokuwa mwaka wa kwanza m
Kafanya la maana unakuta mtu una zunguka fiesta mikoa yoote halaf unachopata ni bora ungeuza mitumba tuu uingize faida zaid

Cloudz washenz kwel kwel
kiukweli alichokifanya ruby kimenifurahisha sana haina haja ya kumnyenyekea mtu halafu mwisho wa siku hufaidiki kitu ananikumbusha kipindi cha mpito nilichopitia nilipokuwa naishi na mlezi wangu ambae alinihudumia kila kitu mpaka namaliza chuo nilikuwa naishi kwake.nilipokuwa mwaka wa kwanza mwishoni alifungua ofisi ambayo mimi ndiye niliyekuwa naisimamia na kazi zote nilizifanya mwenyewe na hapohapo nilitakiwa niende darasani na kazi za nyumbani pia nilitakiwa nifanye,niliweza kufanya vyote hivyo mpaka nilipomaliza chuo ambapo nilikuwa nikichukua masomo ya a/cs.mwaka wa tatu alipanua ofis yake na hata kazi ziliongezeka ambapo kwa wiki nilikuwa nikiingiza mpqka milion 13 lakin mwisho wa siku nakuta nimeambulia hela ya nguo tu sh 50000 basi kama posho silipwi kitu chochote zaidi yahiyo 50000.alichokuwa qnasema ofisi ikisimama vyema nitaanza kukulipa na ukimsikiliza kwa makin anapoongea anasema kuwa ili ofis ionekane ni baada ya miaka 3 nikakaa nikafikir ina maana hapa nitaendelea kupoteza mda silipwi kitu kwa kipind chote hicho na hata baada ya miaka mitatu sinq hakika kqma nitalipwa 250000 ukizingatia mim ndo mtoto wa kwanza nategemewa na familia umri wangu ndo huo unazid kusonga.kweli ndio umenisomesha sasa hakukuwa nq haja ya mimi kupoteza mda wote huo darasani kama mwisho wa siku nakuja kukaa bure ilinibidi nifanye kitu japo kilionekqna kama ni ukosefu wa shukran lakin sikujali kama huyo mlezi anategemewa na ukoo au lah nilimuomba tu niweze kuondoka nirud nyumban kiukwel mwanzoni nilipata tabu kutokana na kukosa baadhi ya vitu lakin nilipata nguvu ya kuweza kujisimamia mwenyew mwanzo nilikuwa undercontrol kuanzia marafiki mavazi nyimbo watu ninaoshirikiana nao mbali na marafiki kiukweli ilikuwa ngumu sana.nilipokuwa nyumbani nilianza kutuma tuma barua za maombi ya kazi mungu sikuzote hamtupi mja wake niliweza itwa kwa interview majibu yalipotoka nikawa nimepita nilifurah sana matunda yakaanza kuonekwna nikaanza ujenz wa nyumba ya wazaz wqngu ambayo walijua basi mimi nimetoka kule basi nitapotea kimaisha lakin si kweli.
Hivyo ruby wewe pambana mama mwanzo watu hawatakuelewa lakin wewe simama wewe kama wewe usiendelee kung'ang'ania sehemu ambayo haina maslahi
 
uko sahihi!kabisa
huyo jide mwenyewe hajakurupuka tuu!kumtunishia misuli clouds kaanza kuimba miaka y 2000 kaanza kiburi mwak juzi tu hapo!

imemchukua miaka kumi naa...kujenga kiburi tena akiwa na hit song!dogo kachemsha mbaya

yaani kwanza ni kama kanyea kambi vile au kinyago walichokichonga Leo kinawatisha wenyewee!!
hicho kitu hakipo ruby yaani sijui labda kama ni kick!!
 
Kuna wasanii wanadhan bila mawingu hawawez kuish
Maisha yana njia nyingi za kutoka wacnyanyaswe kisa umaarufu bila pesa simama unapoamini kama kuna ukweli Mungu akutie nguvu na akutangulie ruby
 
Mkuu what an inspiring story!!

Wakati watu wana wataja kina mondi, waangalie wasanii wengine bongo wana ishia wap kimaisha
Kina duly sykes si hao wana elewana na clouds kwani wamefika wapi,
Some tymes inatakiwa una achana na status quo, uta pata akili mbele kwa mbele

"Hakuna utumwa mbaya kama wa kujiona uko free" fid q
 
Kwa hiyo unaunga mkono yeye kifanya show bure kisa fiesta?
 
Ukweli unaouma
 
Siku zote kwenye vita makamanda ni wachache sana. Sugu mwenyewe alisanda akauza Jeshi dk za mwisho kwa kipande cha dhahabu. Big up Ay, Diamond na jide. Inashangaza sana unapojitoa sehemu unayohisi unanyonywa na kudhurumiwa alaf baada ya mwaka au miaka miwili unaenda kulia lia shida kisa m2 au m3. odds 20 kwa 100k. Hawa wasanii na watangazaji wa clouds ni empty kabisa wakiondoka mawingu wanaongea mengi sana, ila wakichoka wanarudi kwa Mungu wao Ruge kumlamba Miguu nakulia kwa sauti,, Ewee Mungu wetu Ruge tumekosaa baba, tuhurumie turudi tena mawingu baba Ruge. Dunia imenifundisha mengi baba ruge, nimekosa baba ruge sitarudia tena kuikashifu clouds. Mwisho wa siku tusipende kutukuzwa na umaarufu kuliko Mungu wetu aliyembinguni.
 
Lazima kwa sasa maslahi yatakuwa madogo Clouds kwani rais kawabana vigogo wauza unga ile mbaya.
 
Sugu hakusarenda huu mgogoro ruge aliupeleka mpaka kwa viongozi wa chadema na serikalini wamsaidieni ili jambo liishe.....picha inajieleza kabisa hapo
Ze dudu Sugu alisanda kaka. Tukifunguka sana tutakua kama tunamzalilisha kamanda Sugu. Ngoja tumpotezee tu yasifike mbali.
 
Ze dudu Sugu alisanda kaka. Tukifunguka sana tutakua kama tunamzalilisha kamanda Sugu. Ngoja tumpotezee tu yasifike mbali.
mkuu kusanda tunakokuzungumzia ni pale unaporudi clouds kuwapigia magoti ili waku promote tena kwenye kazi zako...sugu amepatana na clouds kipindi ambapo yupo njema kimkwanja kuliko hata kipindi ambacho alikuwa anagombana nao...ukiangalia maisha ya sugu kwa kipindi ambacho anapatana na clouds c maisha ya kutegemea mziki or unataka kuniambia sugu kapatana na clouds ili kupata promotion ya siasa???kitu ambacho sidhani na hakiwezi kuwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…