Maslahi madogo Clouds yamtoa Ruby Fiesta

Maslahi madogo Clouds yamtoa Ruby Fiesta

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
27,031
Reaction score
49,928
Mtandaoni wa Tizneez ametoa exclusive ya kwanini Msanii Ruby hakuonekana Mwanza wala kupanda katika jukwaa la Fiesta wakati alikuwa mmoja wa wasanii waliosajiliwa...

Hivi Ndivyo mtandao huo ulivyoandika;
========

Exclusive Ruby Amezungumza mengi ila kati ya machache ni "Maslahi yamenifanya nisiende kwenye Fiesta, Kisa ni Clouds ndio nisiwe free na kuongea, end of the day it's not about clouds it's about my future.Katika shindano la super diva ilikuwa super diva mshindi atafanya Fiesta, wakati umefika lakini ntafanya Fiesta for nothing?

Mimi sitaki kuongelea price ambayo naipata sababu nahisi nikiongea sijui watu watajiskiaje ukubwa wa show ulivyo. ...Tunakuwa na menejiment ambazo zinaendesha wasanii kimabavu, unadhani kwanini @jidejaydee wanamuita komando?? alisema hayo rubby

Nini maoni yako?
 
Mmmh ruby naye anajiweka kwa jide? Haya yetu macho isije tukaskia ameenda kumpigia magoti ruge ili nyimbo zake zipigwe , Jide ni komando wa kike bongo hakuna mwanamziki wa kike mwenye msimamo Kama wake, huyo ruby anayetengeneza kiki kila akitaka kutoa wimbo mpya ndo naye anaweka bifu na mawingu? Mmh ngoja tuone, mie ngoja nipite na zangu[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
kwaiyo ni sawa apokee laki moja?
 
mh Ruby ubavu wa kutunishiana na Clouds anautoa wapi? ngoja tuone mwisho wake, wanasema ivyo mwisho tunawaona wanaenda kupiga magoti.
 
hata kama hana ndo ulipwe laki moja? si bora akawe muhudumu mango garden?
Being underpaid is one thing,and being ''commando'' is another different story,...Asije tu akafungwa na mkataba waliowekeana awali(kama upo in the first place)..She is obliged to abide by contractual terms and conditions,or else........
 
hata kama hana ndo ulipwe laki moja? si bora akawe muhudumu mango garden?
We unaongea tu hujui usione wasanii wote wanaokubaliana na matakwa ya clouds kwamba ni wajinga wanajua wanachokifanya clouds ukifanya nao bifu na wakati huo hujajiweka vizur kimziki wanakutoa kwenye ramani, jide ni untouchable ndo maana walishindwa ,, kina Weusi, fid Q ,n.k usiwaone ni wajinga kuwa pale wanajua nn wanafanya.. Haya sasa huyo ruby Hana hta vinyimbo 5 kashaanza kujishebedua anataka alipwe million 10??
 
Back
Top Bottom