Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,654
Mgogoro umemwathiri vipi jideKwa hiyo Ruby ndo anajua maslahi kuliko Joh Makini au Fid Q?
Au yeye pekee ndiye angelipwa kidogo kuliko wengine?
Hilo buzi linalompa jeuri likimtema ataenda kuomba msamaha tu.
Kibongo kufanya kazi na Clouds ni maslahi tosha hata kama ni bure,Kuna vijana wanavipaji unique lakini wanaishia kuwaimbia wenza wao maghettoni kisa hakuna promo.
Jide mwenyewe akipata nafasi ya pili kukutana na Clouds kwa mara ya kwanza hawezi kushupaza shingo.
Huu mgogoro umemuathiri sema ndiyo hivyo tena.
Labda kama hujui kuwa like bifu lake limemuongezea sana kipato chake
Mimi bnafs kabla ya beef sikuwahi kuhudhuria show ya jide, ila ilipokuja beef kipind kike ngwea kafariki nilienda kushoo love kwake