Maslahi ya Makatibu Wakuu wa Vyama vya siasa

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Hapa nazungumzia Vyama vinavyopata Ruzuku na vina Wabunge bungeni mfano CCM na CHADEMA;
1. Mshahara 9m TZS (net);
2. Gari (SUV) mafuta, matengenezo na dereva;
3. Diplomatic Passport (VIP lounge entrance & usage);
4. Flying in First/business class;
4. Posho kwenye mikutano ya Kitaifa ikiwemo TCD.
 
Sishangai!

Kama taifa tuliamua siasa ndio iwe kazi inayolipa sana kuliko ueledi wa usomi wetu!!
Ualimu ,udaktari,uafisa kilimo mifugo n.k tupa kule japo unasotea miaka mingi!

Lakini vyeo vya kisiasa vinakula karibu nusu ya mapato ya bajeti Kila mwaka!!

Kupanga ni kuchagua!

Anahitajika mtu was kubadilisha hali!he atapenyaje!!?

Nimekaa hapa nasubiri kupenya!
 
Mnyika aliona mbali sana
 
Mnyika aliona mbali sana
Kwamba aache kumalizia degree ya Sheria aende chadema apate ubunge na ukatibu mkuu!!?

Hatuwezi PATA maendelea Kwa style hii ya kudharau ueledi!!

Leo watumishi ambao ndio walipakodi wasiokwepa wanatishwa na ess Ili wasipande vyeo!!

Maumivu hayo yataenda Kwa imma unaohudumiwa!!!
 
Hivyo sio vitu vinavyomnyima John Mnyika usingizi, watu wengine wanamipangilio na maisha yao hawana muda wa kutangaza tu shughuli zao nje ya siasa.

Mnyika alishatangaza kuacha siasa za majukwaa baada ya 2020 na kutaka abaki mwanachama wa kawaida tu.

CDM (Mbowe) ndie alietaka abaki na uongozi ndani ya chama.
 
We e
Kwamba aache kumalizia degree ya Sheria aende chadema apate ubunge na ukatibu mkuu!!?

Hatuwezi PATA maendelea Kwa style hii ya kudharau ueledi!!

Leo watumishi ambao ndio walipakodi wasiokwepa wanatishwa na ess Ili wasipande vyeo!!

Maumivu hayo yataenda Kwa imma unaohudumiwa!!!
Wewe endelea kufundishia Sayansi Kimu hapo Vijibweni primary school
 
Na wenyeviti na makatibu wa vyama wa mikoa au kanda? Mishahara yao ikoje?
 
Sishangai!

Kama taifa tuliamua siasa ndio iwe kazi inayolipa sana kuliko ueledi wa usomi wetu!!
Ualimu ,udaktari,uafisa kilimo mifugo n.k tupa kule japo unasotea miaka mingi!

Lakini vyeo vya kisiasa vinakula karibu nusu ya mapato ya bajeti Kila mwaka!!

Kupanga ni kuchagua!

Anahitajika mtu was kubadilisha hali!he atapenyaje!!?

Nimekaa hapa nasubiri kupenya!
Sababu ya mfumo wa kishetani wa CCM
 
..CCM ndio wana uwezo wa kumlipa Katibu Mkuu wao milioni 9 kila mwezi. chama chao kinapokea shilingi BILIONI TATU kila mwezi kama ruzuku toka kwa msajili wa vyama vya siasa.
 
Kwamba aache kumalizia degree ya Sheria aende chadema apate ubunge na ukatibu mkuu!!?

Hatuwezi PATA maendelea Kwa style hii ya kudharau ueledi!!

Leo watumishi ambao ndio walipakodi wasiokwepa wanatishwa na ess Ili wasipande vyeo!!

Maumivu hayo yataenda Kwa imma unaohudumiwa!!!
Kwa namna gani mfumo wa ess unamzuia mtumishi kupanda cheo mkuu
 
Attachments

  • Screenshot_2024-06-09-05-15-40-56.png
    Screenshot_2024-06-09-05-15-40-56.png
    282.6 KB · Views: 4
Hapa nazungumzia Vyama vinavyopata Ruzuku na vina Wabunge bungeni mfano CCM na CHADEMA;
1. Mshahara 9m TZS (net);
2. Gari (SUV) mafuta, matengenezo na dereva;
3. Diplomatic Passport (VIP lounge entrance & usage);
4. Flying in First/business class;
4. Posho kwenye mikutano ya Kitaifa ikiwemo TCD.
Huo mshahara ni $3,400 tu. Nchi za watu hiyo hela anaweza kulipwa mtu Unemployment Benefit akikosa kazi wakati anabadili kazi.Hela ya kawaida sana kimataifa, sema labda bongo tu uchumi mdogo ukiilinganisha na maisha ya watu wengi inaonekana nyingi, na ukiingiza katika Purchasing Powe Parity hiyo hiyo ndogo kimataifa inakuwa na nguvu sana Bongo.
 
Back
Top Bottom