Maslahi ya Makatibu Wakuu wa Vyama vya siasa

Maslahi ya Makatibu Wakuu wa Vyama vya siasa

Sishangai!

Kama taifa tuliamua siasa ndio iwe kazi inayolipa sana kuliko ueledi wa usomi wetu!!
Ualimu ,udaktari,uafisa kilimo mifugo n.k tupa kule japo unasotea miaka mingi!

Lakini vyeo vya kisiasa vinakula karibu nusu ya mapato ya bajeti Kila mwaka!!

Kupanga ni kuchagua!

Anahitajika mtu was kubadilisha hali!he atapenyaje!!?

Nimekaa hapa nasubiri kupenya!
Atapenyaje ??
Tutampenyezaje bila kushtukiwa na wajanja ?? 🙄🤠😅
 
ni awamu ya ngapi siasa ilianza kulipa vizuri kiasi wasomi wakaanza kuacha taaluma walizosomea na kuanza kukimbilia huko ???
 
Back
Top Bottom