Mnyika aliona mbali sanaSishangai!
Kama taifa tuliamua siasa ndio iwe kazi inayolipa sana kuliko ueledi wa usomi wetu!!
Ualimu ,udaktari,uafisa kilimo mifugo n.k tupa kule japo unasotea miaka mingi!
Lakini vyeo vya kisiasa vinakula karibu nusu ya mapato ya bajeti Kila mwaka!!
Kupanga ni kuchagua!
Anahitajika mtu was kubadilisha hali!he atapenyaje!!?
Nimekaa hapa nasubiri kupenya!
Kwamba aache kumalizia degree ya Sheria aende chadema apate ubunge na ukatibu mkuu!!?Mnyika aliona mbali sana
Wewe endelea kufundishia Sayansi Kimu hapo Vijibweni primary schoolKwamba aache kumalizia degree ya Sheria aende chadema apate ubunge na ukatibu mkuu!!?
Hatuwezi PATA maendelea Kwa style hii ya kudharau ueledi!!
Leo watumishi ambao ndio walipakodi wasiokwepa wanatishwa na ess Ili wasipande vyeo!!
Maumivu hayo yataenda Kwa imma unaohudumiwa!!!
Sababu ya mfumo wa kishetani wa CCMSishangai!
Kama taifa tuliamua siasa ndio iwe kazi inayolipa sana kuliko ueledi wa usomi wetu!!
Ualimu ,udaktari,uafisa kilimo mifugo n.k tupa kule japo unasotea miaka mingi!
Lakini vyeo vya kisiasa vinakula karibu nusu ya mapato ya bajeti Kila mwaka!!
Kupanga ni kuchagua!
Anahitajika mtu was kubadilisha hali!he atapenyaje!!?
Nimekaa hapa nasubiri kupenya!
Hii ndiyo iliyopo kwa sasaWenye akili timamu wasipo jishughulisha na mambo ya msingi katika taifa lao,mwisho hutawaliwa na wajinga.
"Kuna karne itakuja kwa wajinga kuwa viongozi na wenye akili timamu kuwa wafuasi,Nadhani karne yenyewe ndo hii"Shaaban Robert
Wenyeviti wa Kanda wanalamba 21 Million,ndio maana Mch Msigwa roho inamtoka 😂😂Na wenyeviti na makatibu wa vyama wa mikoa au kanda? Mishahara yao ikoje?
Kwa namna gani mfumo wa ess unamzuia mtumishi kupanda cheo mkuuKwamba aache kumalizia degree ya Sheria aende chadema apate ubunge na ukatibu mkuu!!?
Hatuwezi PATA maendelea Kwa style hii ya kudharau ueledi!!
Leo watumishi ambao ndio walipakodi wasiokwepa wanatishwa na ess Ili wasipande vyeo!!
Maumivu hayo yataenda Kwa imma unaohudumiwa!!!
Hawana jamaa kadanganya..makatibu wakuu wa vyama vya upinzani wana pasi za kidiplomasia kweli, au mnatulisha matango pori? hili suala lipelekwe kwenye fact check ili tujue ukweli wake.
Sheria hiyo hapo hawapo acha umbumbumbuKwa mujibu wa sheria. Sio porojo zako za hapo Ikwiriri
Sasa nimtafute Ras Simba, sijaona hao makatibu wa kuu wa vyama vya kisiasa kwenye hiyo orodhaSheria hiyo hapo hawapo acha umbumbumbu
Huo mshahara ni $3,400 tu. Nchi za watu hiyo hela anaweza kulipwa mtu Unemployment Benefit akikosa kazi wakati anabadili kazi.Hela ya kawaida sana kimataifa, sema labda bongo tu uchumi mdogo ukiilinganisha na maisha ya watu wengi inaonekana nyingi, na ukiingiza katika Purchasing Powe Parity hiyo hiyo ndogo kimataifa inakuwa na nguvu sana Bongo.Hapa nazungumzia Vyama vinavyopata Ruzuku na vina Wabunge bungeni mfano CCM na CHADEMA;
1. Mshahara 9m TZS (net);
2. Gari (SUV) mafuta, matengenezo na dereva;
3. Diplomatic Passport (VIP lounge entrance & usage);
4. Flying in First/business class;
4. Posho kwenye mikutano ya Kitaifa ikiwemo TCD.