Sishangai!
Kama taifa tuliamua siasa ndio iwe kazi inayolipa sana kuliko ueledi wa usomi wetu!!
Ualimu ,udaktari,uafisa kilimo mifugo n.k tupa kule japo unasotea miaka mingi!
Lakini vyeo vya kisiasa vinakula karibu nusu ya mapato ya bajeti Kila mwaka!!
Kupanga ni kuchagua!
Anahitajika mtu was kubadilisha hali!he atapenyaje!!?
Nimekaa hapa nasubiri kupenya!