Maslahi ya Mbunge wa Tanzania ni kufuru

Maslahi ya Mbunge wa Tanzania ni kufuru

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
44,629
Reaction score
83,056
Maslahi ya MBUNGE wa Tanzania by Martin Maranja Masese

Mshahara & Posho — Sh16.5M (mwezi)

Posho kujikimu — Sh250,000 (siku)

Posho kitako — Sh220,000 (siku)

Kiinua mgongo — Sh272M (5yrs)

Mkopo gari — Sh90M (5yrs)

Mfuko wa Jimbo — Sh55M (mwaka)

Malipo ya mafuta, katibu na dereva Posho

ziara za mafunzo ughaibuni

Posho za vikao kamati & semina

Mkopo mkubwa – dhamana ubunge

Bima ya afya kwa familia, BURE

Passport hadhi ya kibalozi, BURE

Mshahara hauna makato yoyote.

Hakuna makato mifuko hifadhi ya jamii

maslahi.png

1739174639625.png
 
Dah! Ndo maana Wanasifu na kuabudu mamlaka za juu, Yaani wanaishi kama wapo Dunia ya kwanza, wakati wapo kwenye nchi iliyotopea umaskini, ndo maana Trump amekata misaada, tunakopa ili tuje kuwaneemesha watu wachache. Kweli ngozi nyeusi tuna shida mahali
 
Maslahi ya MBUNGE wa Tanzania by Martin Maranja Masese

Mshahara & Posho — Sh16.5M (mwezi)

Posho kujikimu — Sh250,000 (siku)

Posho kitako — Sh220,000 (siku)

Kiinua mgongo — Sh272M (5yrs)

Mkopo gari — Sh90M (5yrs)

Mfuko wa Jimbo — Sh55M (mwaka)

Malipo ya mafuta, katibu na dereva Posho

ziara za mafunzo ughaibuni

Posho za vikao kamati & semina

Mkopo mkubwa – dhamana ubunge

Bima ya afya kwa familia, BURE

Passport hadhi ya kibalozi, BURE

Mshahara hauna makato yoyote.

Hakuna makato mifuko hifadhi ya jamii

View attachment 3231790
Ndio maana kila mtu anautaka ubunge, anataka kuingia kwenye full active politics wakiacha kutumikia ajira zao za kitaaluma hata kama ni kuwa chawa tu wa mwanasiasa fulani aliyekwisha kufanikiwa...
 
Maslahi ya MBUNGE wa Tanzania by Martin Maranja Masese

Mshahara & Posho — Sh16.5M (mwezi)

Posho kujikimu — Sh250,000 (siku)

Posho kitako — Sh220,000 (siku)

Kiinua mgongo — Sh272M (5yrs)

Mkopo gari — Sh90M (5yrs)

Mfuko wa Jimbo — Sh55M (mwaka)

Malipo ya mafuta, katibu na dereva Posho

ziara za mafunzo ughaibuni

Posho za vikao kamati & semina

Mkopo mkubwa – dhamana ubunge

Bima ya afya kwa familia, BURE

Passport hadhi ya kibalozi, BURE

Mshahara hauna makato yoyote.

Hakuna makato mifuko hifadhi ya jamii

View attachment 3231790
Kwahela hizi lazima upige sarakasi wananchi wasije kukukata kichwa!!
 
Hv zile mbwembwe za mwanzon za magu alipoingia madarakani na kusema mshahara wake utakuwa mil 9,zilikuwa za kweli?
 
Maslahi ya MBUNGE wa Tanzania by Martin Maranja Masese

Mshahara & Posho — Sh16.5M (mwezi)

Posho kujikimu — Sh250,000 (siku)

Posho kitako — Sh220,000 (siku)

Kiinua mgongo — Sh272M (5yrs)

Mkopo gari — Sh90M (5yrs)

Mfuko wa Jimbo — Sh55M (mwaka)

Malipo ya mafuta, katibu na dereva Posho

ziara za mafunzo ughaibuni

Posho za vikao kamati & semina

Mkopo mkubwa – dhamana ubunge

Bima ya afya kwa familia, BURE

Passport hadhi ya kibalozi, BURE

Mshahara hauna makato yoyote.

Hakuna makato mifuko hifadhi ya jamii

View attachment 3231790
nadhani kwa hali halisi ya mazingira yalivyo, na ukizingatia majukumu mazito na wajibu muhimu walio nao kwa wananchi na Taifa kwa ujumla,

nadhani ni muhimu kuwaongezea privileges na immunities za kimaslahi na kimazingira zaidi ili kuwaongezea comfortability na spirit ya kuwajibika na kujitolea zaidi katika kuwatumikia wananchi na Taifa kwa ujumla, kwa weledi na bidii zaidi na zaidi na kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.

Ni muhimu maslahi ya waandamizi hao wa kipekee kwa Taifa yakaboreshwa zaidi,

hayo ni maoni na mtazamo wangu kama mTanzania huru wa kawaida tu 🐒
 
Maslahi ya MBUNGE wa Tanzania by Martin Maranja Masese

Mshahara & Posho — Sh16.5M (mwezi)

Posho kujikimu — Sh250,000 (siku)

Posho kitako — Sh220,000 (siku)

Kiinua mgongo — Sh272M (5yrs)

Mkopo gari — Sh90M (5yrs)

Mfuko wa Jimbo — Sh55M (mwaka)

Malipo ya mafuta, katibu na dereva Posho

ziara za mafunzo ughaibuni

Posho za vikao kamati & semina

Mkopo mkubwa – dhamana ubunge

Bima ya afya kwa familia, BURE

Passport hadhi ya kibalozi, BURE

Mshahara hauna makato yoyote.

Hakuna makato mifuko hifadhi ya jamii

View attachment 3231790
Naomba hii habari isiwe ya kweli...
 
Ukiwa kiongozi unapaswa kuwa mfano wa kuingwa,
1. Hawa ndio wenye kutunga sheria zikiwemo za kulipa kodi, kama wao hawakatwi kodi kwenye mishahara yao upo wapi wa wao uhalali wa kutaka wafanyakazi wa umma na sekta binafsi kukatwa kodi?
2. Ili uwe jasiri kukemea rushwa lazima uwe msafi si mpokea rushwa, wao hawa hawalipi kodi uko wapi uhalali wa wao kutunga sheria za kodi nk nk?

3. Natamani angekuwepo Christopher Mtikila ningemfuata akafungue kesi mahakamani kulishtaki Bunge juu ya hili jambo ambalo halipo sawa kwenye taifa lenye kutaka maendeleo.
 
nadhani kwa hali halisi ya mazingira yalivyo, na ukizingatia majukumu mazito na wajibu muhimu walio nao kwa wananchi na Taifa kwa ujumla,

nadhani ni muhimu kuwaongezea privileges na immunities za kimaslahi na kimazingira zaidi ili kuwaongezea comfortability na spirit ya kuwajibika na kujitolea zaidi katika kuwatumikia wananchi na Taifa kwa ujumla, kwa weledi na bidii zaidi na zaidi na kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.

Ni muhimu maslahi ya waandamizi hao wa kipekee kwa Taifa yakaboreshwa zaidi,

hayo ni maoni na mtazamo wangu kama mTanzania huru wa kawaida tu
 
Back
Top Bottom