Maslahi ya Mbunge wa Tanzania ni kufuru

Maslahi ya Mbunge wa Tanzania ni kufuru

Tanzania bhana halafu yanalipwa hvyo hakuna cha maana yanafanya bungeni
 
nadhani kwa hali halisi ya mazingira yalivyo, na ukizingatia majukumu mazito na wajibu muhimu walio nao kwa wananchi na Taifa kwa ujumla,

nadhani ni muhimu kuwaongezea privileges na immunities za kimaslahi na kimazingira zaidi ili kuwaongezea comfortability na spirit ya kuwajibika na kujitolea zaidi katika kuwatumikia wananchi na Taifa kwa ujumla, kwa weledi na bidii zaidi na zaidi na kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.

Ni muhimu maslahi ya waandamizi hao wa kipekee kwa Taifa yakaboreshwa zaidi,

hayo ni maoni na mtazamo wangu kama mTanzania huru wa kawaida tu 🐒
Kuwatumikia wananchi au kuyatumia matumbo yao? Usitudanganye katika hili.
 
Sasa hivi huenda wako kwenye foleni kwa Waganga wa kienyeji kwa ajili ya okt.2025! Zeru x2 waangaliwe kwa uzito sana.
 
nadhani kwa hali halisi ya mazingira yalivyo, na ukizingatia majukumu mazito na wajibu muhimu walio nao kwa wananchi na Taifa kwa ujumla,

nadhani ni muhimu kuwaongezea privileges na immunities za kimaslahi na kimazingira zaidi ili kuwaongezea comfortability na spirit ya kuwajibika na kujitolea zaidi katika kuwatumikia wananchi na Taifa kwa ujumla, kwa weledi na bidii zaidi na zaidi na kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.

Ni muhimu maslahi ya waandamizi hao wa kipekee kwa Taifa yakaboreshwa zaidi,

hayo ni maoni na mtazamo wangu kama mTanzania huru wa kawaida tu 🐒
Mmmh kweli wapo watu wataenda jehanam...

Kwa hiyo hawa ni muhimu kuliko madaktari na madaktari Bingwa wanaohitajika kwenye vituo vyetu vya afya na mahospitali?

Ni muhimu kuliko waalimu wanaohitajika kwenye shule zetu nchini kwetu?

Bila shaka wewe ni mmoja wa wanufaikaji...dhambi kubwa ya shetani ni ubinafsi...Acha tuone mwisho wa yote haya
 
Kumbe ndo maana mtu anaacha ukuu wa mkoa anakimbilia ubunge🤔🤔🤔
 
Mmmh kweli wapo watu wataenda jehanam...

Kwa hiyo hawa ni muhimu kuliko madaktari na madaktari Bingwa wanaohitajika kwenye vituo vyetu vya afya na mahospitali?

Ni muhimu kuliko waalimu wanaohitajika kwenye shule zetu nchini kwetu?

Bila shaka wewe ni mmoja wa wanufaikaji...dhambi kubwa ya shetani ni ubinafsi...Acha tuone mwisho wa yote haya
hakuna haja ya kuhukumiana gentleman,
hukumu ya haki ni mbele za Mungu pekee, vinginevyo ni ushirikina tu,

kila moja afanye kazi kwa bidii na aridhike na anachopata kama asanti baada ya kazi zake

ni muhimu zaid kuzingatia umuhimu na uzito wa kazi na majukumu mahususi ya wawakilishai wa wananchi kwa maslahi mapana ya taifa.

ni jambo la maana sana maslahi ya wawakilishi wa wamnanachi kutazamwa na kuboreshwa mara kwa mara:NoGodNo:
 
Back
Top Bottom