Yaani isiishie kwa Trump tu, hata Wazungu wengine nao inabidi wafutilie mbali hii misaada maana inaliwa tu na hawa mafisadi.Dah! Ndo maana Wanasifu na kuabudu mamlaka za juu, Yaani wanaishi kama wapo Dunia ya kwanza, wakati wapo kwenye nchi iliyotopea umaskini, ndo maana Trump amekata misaada, tunakopa ili tuje kuwaneemesha watu wachache. Kweli ngozi nyeusi tuna shida mahali
Yaani isiishie kwa Trump tu, hata Wazungu wengine nao inabidi wafutilie mbali hii misaada maana inaliwa tu na hawa mafisadi.
Kuna watu walikuwa wanaamini kila asemacho. Kwa kusia tu, mshahara wa rais wa Tanzania haupungui 100m.Hv zile mbwembwe za mwanzon za magu alipoingia madarakani na kusema mshahara wake utakuwa mil 9,zilikuwa za kweli?
Mmh!!!?,wewe!Kuna watu walikuwa wanaamini kila asemacho. Kwa kusia tu, mshahara wa rais wa Tanzania haupungui 100m.
Kabisa Kuna shida mahali, maana huwezi walipa watu utitiri mkubwa wa pesa katika nchi yenye shida ya matundu ya Vyoo kwenye mashule katika Karne ya 21Hatuna akili sie
Mkuu viongozi wa Tanzania hawana aibu ujue.Mmh!!!?,wewe!
Yaan pesa ambayo wengine ndo pension ya miaka 30
Bila shaka ili kupata daktari mzuri ni asomee udaktari miaka 7,Maslahi ya MBUNGE wa Tanzania by Martin Maranja Masese
Mshahara & Posho — Sh16.5M (mwezi)
Posho kujikimu — Sh250,000 (siku)
Posho kitako — Sh220,000 (siku)
Kiinua mgongo — Sh272M (5yrs)
Mkopo gari — Sh90M (5yrs)
Mfuko wa Jimbo — Sh55M (mwaka)
Malipo ya mafuta, katibu na dereva Posho
ziara za mafunzo ughaibuni
Posho za vikao kamati & semina
Mkopo mkubwa – dhamana ubunge
Bima ya afya kwa familia, BURE
Passport hadhi ya kibalozi, BURE
Mshahara hauna makato yoyote.
Hakuna makato mifuko hifadhi ya jamii
View attachment 3231790
Mwalimu miaka 35 anastaafu analipwa milion 46, huu ni ukichaaMaslahi ya MBUNGE wa Tanzania by Martin Maranja Masese
Mshahara & Posho — Sh16.5M (mwezi)
Posho kujikimu — Sh250,000 (siku)
Posho kitako — Sh220,000 (siku)
Kiinua mgongo — Sh272M (5yrs)
Mkopo gari — Sh90M (5yrs)
Mfuko wa Jimbo — Sh55M (mwaka)
Malipo ya mafuta, katibu na dereva Posho
ziara za mafunzo ughaibuni
Posho za vikao kamati & semina
Mkopo mkubwa – dhamana ubunge
Bima ya afya kwa familia, BURE
Passport hadhi ya kibalozi, BURE
Mshahara hauna makato yoyote.
Hakuna makato mifuko hifadhi ya jamii
View attachment 3231790
google utuwekeeHakuna picha nyingine ya kuambatanisha?
kigwa anadiriki kusema eti wanajotolea....Maalim Seif aliwahi kusema namnukuu "uhanithi huo"Halafu tapeli Kigwangala anasema ubunge ni kujitolea.
ndio uhanithi wenyewe aliousema Maalim SeifMwalimu miaka 35 anastaafu analipwa milion 46, huu ni ukichaa
Chadema pia wamo ktk payroll hiiDuh kumbe wabunge wetu wanafaidi MEMA YA NCHI
Hawa ndo tunategemea watuwakilishe wananchi maskini mlo mmoja wakulenga!
SEE!