Maslahi ya Mbunge wa Tanzania ni kufuru

Tanzania bhana halafu yanalipwa hvyo hakuna cha maana yanafanya bungeni
 
Kuwatumikia wananchi au kuyatumia matumbo yao? Usitudanganye katika hili.
 
Sasa hivi huenda wako kwenye foleni kwa Waganga wa kienyeji kwa ajili ya okt.2025! Zeru x2 waangaliwe kwa uzito sana.
 
Mmmh kweli wapo watu wataenda jehanam...

Kwa hiyo hawa ni muhimu kuliko madaktari na madaktari Bingwa wanaohitajika kwenye vituo vyetu vya afya na mahospitali?

Ni muhimu kuliko waalimu wanaohitajika kwenye shule zetu nchini kwetu?

Bila shaka wewe ni mmoja wa wanufaikaji...dhambi kubwa ya shetani ni ubinafsi...Acha tuone mwisho wa yote haya
 
Kumbe ndo maana mtu anaacha ukuu wa mkoa anakimbilia ubunge🤔🤔🤔
 
hakuna haja ya kuhukumiana gentleman,
hukumu ya haki ni mbele za Mungu pekee, vinginevyo ni ushirikina tu,

kila moja afanye kazi kwa bidii na aridhike na anachopata kama asanti baada ya kazi zake

ni muhimu zaid kuzingatia umuhimu na uzito wa kazi na majukumu mahususi ya wawakilishai wa wananchi kwa maslahi mapana ya taifa.

ni jambo la maana sana maslahi ya wawakilishi wa wamnanachi kutazamwa na kuboreshwa mara kwa mara
 
Kuwatumikia wananchi au kuyatumia matumbo yao? Usitudanganye katika hili.
relax gentleman,
maslahi ya wawakilishi wa wananchi ni muhimu kutazamwa na kuboreshwa mara kwa mara kwa maslahi mapana ya taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…