Masogange aibuka; adai ameokoka na hajawahi kumuona Makonda

Hata Gwajima mlokole tena mkuu wao. Na je anaweza kututajia ni kazi ipi halali anayofanya? Sehemu anayoishi je anaweza kutuonyesha?
 
Kama kaokoka kweli basi MWENYEZI MUNGU amuangazie nuru ya uso wake....kwani hata Mesiya alisema alikuja duniani kwa ajili ya wakosefu.
 
"Nilishaacha kujihusisha na sanaa na burudani miaka miwili iliyopita", hivi hapo alikuwa anamaanisha nini maana tuhuma husika ni ngada na kumburudisha mheshimiwa?
 
Ha ha ha ha imebidi atumie ile nembo ile ili wawe pamoja kweli WEma ulisema kweli mamangu
 
Hii 'inshu' inaweza ku backfire! Ngoja wengine tuongeze popcorns tu...movie tamu sana hii.
'kaokoka', 'hajawahi kukutana na 'madereva'', 'siku hizi ameacha' ....hizi leads zote zinaweza kutengeza sinema tofauti tofauti.
 
Na clip inayotembea Mzee anaitwa aggy jamani sijui tu kuiweka hapa ningeweka sasa hivi
 
mwenye picha ya masogange atupie hapa tafadhali
 
Vip ameacha kurusha rusha tako lake maana hata lenyewe lotakuwa limeokoka
 
Bora kukaa kimya tu...wanaona sifa kuuza hayo makitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…