Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unatuchafua sisi watumishi wa Mungu aliye hai.hata muheshimiwa ameokoka ! hawakutani hata kwa waliookoka kweli?
Ni kupiga zoeziAmeokoka wakati kila siku anapost clips akizungusha inye
Haina kwere arif..ile lile zgo lnatia hamasa sna..Usikubari kirahisi hata kama anatumika hawezi sema. Muda utasema zaidi unisamehe Mie wa uswazi kiswahili lazima kiwe na tafsida.
Mh..!
Masogange alipohojiwa na gazeti la mtanzania alikuwa na haya ya kusema;
"Kwanza mimi nimeokoka, halafu huyo Makonda hata sijawahi kuonana naye ana kwa ana zaidi ya kumuona kwenye vyombo vya habari, mimi nataka wanaonishutuhumu waache kukurupuka wao wanapokutwa na tatizo waangalie njia ya kujinasua na si kusingizia wengine"
"Wamekurupuka na wananituhumu kwa kitu ambacho hawakifahamu, asimuhukumu mtu kwa historia mimi nishaokoka nina miaka mitatu sasa niko hapa nchini nafanya kazi zangu za halali,
hakuna asiyejua na sipendi kabisa kujihusisha na makundi yoyote yale kwa kuwa hawajui undani wa maisha yangu sasa wanaanza kuzusha na kuhusu uhusiano na mkuu wa mkoa, sidhani kama hata tuliwahi kuonana macho kwa macho, mimi namuona kwenye TV na magazeti nadhani na yeye ni hivyohivyo,
Nilishaacha kujihusisha kujihusisha na sanaa na burudani miaka miwili iliyopita sasa"
Waarabu wa pemba wanajuana kwa vilembahata muheshimiwa ameokoka ! hawakutani hata kwa waliookoka kweli?
tayari nini au kaingia kwenye mkonga wa taifa?Mh..!
Siwezi kushangaa huyu kuamua kuokoka maana nasikiaga eti tayari.![emoji12]
Either Wokovu umevamiwa,
Masogange alipohojiwa na gazeti la mtanzania alikuwa na haya ya kusema;
"Kwanza mimi nimeokoka, halafu huyo Makonda hata sijawahi kuonana naye ana kwa ana zaidi ya kumuona kwenye vyombo vya habari, mimi nataka wanaonishutuhumu waache kukurupuka wao wanapokutwa na tatizo waangalie njia ya kujinasua na si kusingizia wengine"
"Wamekurupuka na wananituhumu kwa kitu ambacho hawakifahamu, asimuhukumu mtu kwa historia mimi nishaokoka nina miaka mitatu sasa niko hapa nchini nafanya kazi zangu za halali,
hakuna asiyejua na sipendi kabisa kujihusisha na makundi yoyote yale kwa kuwa hawajui undani wa maisha yangu sasa wanaanza kuzusha na kuhusu uhusiano na mkuu wa mkoa, sidhani kama hata tuliwahi kuonana macho kwa macho, mimi namuona kwenye TV na magazeti nadhani na yeye ni hivyohivyo,
Nilishaacha kujihusisha kujihusisha na sanaa na burudani miaka miwili iliyopita sasa"
Anasali kwa GwajiimaNaona sasa neno "kuokoka" limepoteza maana
Only God can judgeKama huyu Masogange ameokoka basi hakuna kuokoka.
HahahahaAnasali kwa Gwajiima
Shalommapendo daima.
Kweli kuokoka inamaana panaSalamu kwenu walokole
mkuu na wewe ni "shoga" akeSinunui mkuu, ila mashoga zake nipo nao karibu.