Masogange aibuka; adai ameokoka na hajawahi kumuona Makonda

Masogange aibuka; adai ameokoka na hajawahi kumuona Makonda

Sijui hawa watoto wakoje cku hizi wanapenda sana kumchezea mungu atafute njia nyingine ya kujitetea tofauti na wokovu unafikiri mungu amuoni na matukio yake
 
Labda aliokoka na ile issue ya poda kule bondeni... Au kama sijaelewa kuokoka kwake anamaanisha nini zaidi!!!!
 
Huyu alikuwa anaishiwa anauza mpaka laki kwa mgeni, na 50 kwa anaerudia, siku hizi hata laki 5 hataki, atakuwa amejishikilia sehemu siyo bure.
Akiwa anauza hivyo ni "everything goes" au anakuchagulia nini kiwe na nini kisiwe?
 
sidhani kama hata tuliwahi kuonana macho kwa macho, mimi namuona kwenye TV na magazeti nadhani na yeye ni hivyohivyo,

Jamani nini maana halisi ya neno 'sidhani'? Na katika mazingira gani neno hili utumika? Hapa naona yeye 'hadhani' na anamsemea mheshimiwa Makonda pia nae "hadhani". Kuna msemo wenye maana kuwa 'utakapo niona nami nitakuwa nimekuona' (source imeminywa).
 

Masogange alipohojiwa na gazeti la mtanzania alikuwa na haya ya kusema;

"Kwanza mimi nimeokoka, halafu huyo Makonda hata sijawahi kuonana naye ana kwa ana zaidi ya kumuona kwenye vyombo vya habari, mimi nataka wanaonishutuhumu waache kukurupuka wao wanapokutwa na tatizo waangalie njia ya kujinasua na si kusingizia wengine"

"Wamekurupuka na wananituhumu kwa kitu ambacho hawakifahamu, asimuhukumu mtu kwa historia mimi nishaokoka nina miaka mitatu sasa niko hapa nchini nafanya kazi zangu za halali,

hakuna asiyejua na sipendi kabisa kujihusisha na makundi yoyote yale kwa kuwa hawajui undani wa maisha yangu sasa wanaanza kuzusha na kuhusu uhusiano na mkuu wa mkoa, sidhani kama hata tuliwahi kuonana macho kwa macho, mimi namuona kwenye TV na magazeti nadhani na yeye ni hivyohivyo,

Nilishaacha kujihusisha kujihusisha na sanaa na burudani miaka miwili iliyopita sasa"

Sasa jamani hiyo picha si ingewekewa tarehe ya kupigwa jamani ili tupate clear info. Kama ni picha baada ya kuokoka naomba physical address ya kanisa analosali tafadhari!
 
Back
Top Bottom