Masogange aibuka; adai ameokoka na hajawahi kumuona Makonda

Usikubari kirahisi hata kama anatumika hawezi sema. Muda utasema zaidi unisamehe Mie wa uswazi kiswahili lazima kiwe na tafsida.
Haina kwere arif..ile lile zgo lnatia hamasa sna..
Sema all n all asngeweza kuchoma krahsi
 
Atakuwa ameokoka upande mmoja tuu, upande mwingine hajaokoka. Unapokutana na mdada anakwambia ameokoka pale tuu unapomtokea kimapenzi afu bado mienendo yake mingine haiendani na dhana nzima ya kuokoka huyo kaokoka nusu ambayo ni sawasawa na kutookoka.
 
Masogange alipohojiwa na gazeti la mtanzania alikuwa na haya ya kusema;

"Kwanza mimi nimeokoka, halafu huyo Makonda hata sijawahi kuonana naye ana kwa ana zaidi ya kumuona kwenye vyombo vya habari, mimi nataka wanaonishutuhumu waache kukurupuka wao wanapokutwa na tatizo waangalie njia ya kujinasua na si kusingizia wengine"

"Wamekurupuka na wananituhumu kwa kitu ambacho hawakifahamu, asimuhukumu mtu kwa historia mimi nishaokoka nina miaka mitatu sasa niko hapa nchini nafanya kazi zangu za halali,

hakuna asiyejua na sipendi kabisa kujihusisha na makundi yoyote yale kwa kuwa hawajui undani wa maisha yangu sasa wanaanza kuzusha na kuhusu uhusiano na mkuu wa mkoa, sidhani kama hata tuliwahi kuonana macho kwa macho, mimi namuona kwenye TV na magazeti nadhani na yeye ni hivyohivyo,

Nilishaacha kujihusisha kujihusisha na sanaa na burudani miaka miwili iliyopita sasa"
Mh..!
Siwezi kushangaa huyu kuamua kuokoka maana nasikiaga eti tayari.![emoji12]
 
Either Wokovu umevamiwa,
Au Kuokoka kumebadilishwa maana siku hizi,
Au vyote kwa pamoja
 
Back
Top Bottom