wanaombeanahata muheshimiwa ameokoka ! hawakutani hata kwa waliookoka kweli?
kabisa wanajifunika na koti la kuokoka wanaharibu imani za wengine wasijifanye watu hawaoni hapaHao wazinzi waache kuchafua imani,wakafanye uasherati wao huko
mmh best ya kweli haya hahahahaaaaaaaaaaaawanaombeana
bora nawe besti umeona hilo mm mwenyewe nimeshangaa wanaharibu imani za watu hawaumeokoka unatikia watu matakoo wokovu gani huo agiii?
hivi nawe hawajakuona na kukuweka kwenye orodha hahahaaaaa (jokes)Sinunui mkuu, ila mashoga zake nipo nao karibu.
na Mungu awabadilishe kweli aokoke kweli kwelibora nawe besti umeona hilo mm mwenyewe nimeshangaa wanaharibu imani za watu hawa
nakumdhihaki Mungu
ha haha me sijui bestmmh best ya kweli haya hahahahaaaaaaaaaaaa
kwa kweli maana wanamhitaji Mungu zzaidi hawana Mungu awabadilishe kweli aokoke kweli kweli
kabisakwa kweli maana wanamhitaji Mungu zzaidi hawa
Ulitegemea atakubari? Nyie madogo wepesi mno hata MTU akikukazia katika 18 huruki. Acha muda useme.Hmm sepenga kagonga mwamba na hili...
Sijakuelewa kabisa mkuu..Ulitegemea atakubari? Nyie madogo wepesi mno hata MTU akikukazia katika 18 huruki. Acha muda useme.
Usikubari kirahisi hata kama anatumika hawezi sema. Muda utasema zaidi unisamehe Mie wa uswazi kiswahili lazima kiwe na tafsida.Sijakuelewa kabisa mkuu..