Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
MODO anayesifika kwa kujaliwa makalio, Agnes Jerald ‘Masogange' amepata mpinzani lakini akachomoa kuhusu suala la kufunikwa.
Masogange alizungumza hayo juzikati baada ya kukutana na mrembo aliyejulikana kwa jina la Samia pande za Sauzi.
Walipopiga picha ya pamoja, Masogange alipinga na kujisifia kuwa "Hawezi kunizidi mimi, hatari wewe," alijisifu Masogange kwa paparazi wetu.