Masogange akutana na mwenye makalio makubwa kama yake na kulingishiana huko South

Masogange akutana na mwenye makalio makubwa kama yake na kulingishiana huko South

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
MODO anayesifika kwa kujaliwa makalio, Agnes Jerald ‘Masogange' amepata mpinzani lakini akachomoa kuhusu suala la kufunikwa.

Modo anayesifika kwa kujaliwa makalio, Agnes Jerald ‘Masogange' katika pozi tofauti.


Masogange alizungumza hayo juzikati baada ya kukutana na mrembo aliyejulikana kwa jina la Samia pande za Sauzi.


attachment.php

Masogange na Samia katika pozi.


Walipopiga picha ya pamoja, Masogange alipinga na kujisifia kuwa "Hawezi kunizidi mimi, hatari wewe," alijisifu Masogange kwa paparazi wetu.
 

Attachments

  • agnessmasogange3.jpg
    agnessmasogange3.jpg
    39.8 KB · Views: 3,742
  • masogange1.jpg
    masogange1.jpg
    40.8 KB · Views: 3,922
Kwani bado anaenda sauzi? Nchi ngumu hii.....haya waue kwa ngoma na sembe......haponi mtu hapa.
 
Makalio ndiyo asset pekee aliyo nayo Masogange... Siku ikitokea yakawa flat ghafla na Agness tunampoteza kwa Mshtuko atakaoupata.....

Halafu siku hizi amekuwa Modo?!?!
 
South mbona wasichana wengi tu wamefunga zaidi ya Masogange! Hata ukienda Durban Wale black Indian ni noma.
 
Kwahiyo hicho ndo kitega uchumi chake ☜☜☜☜♧
 
mi mbona namuona huyo mbwiga hana lolote, ila anajua kujichoresha
kuna wasichana wakali ninao hapa, wanamaumbo ya kipekee Masogange hafiki hata kidogo, sema wao hawayapi promo na wala hawajioneshi!!!
 
Makalio ndiyo asset pekee aliyo nayo Masogange... Siku ikitokea yakawa flat ghafla na Agness tunampoteza kwa Mshtuko atakaoupata.....

Halafu siku hizi amekuwa Modo?!?!

Hatakufa kwa presha makalio ndio yanamuweka mjini
 
Makalio wanayo ila wote ni short chassis hayakai uzuri
 
Wanashindania makalio! inaonyesha akili zao pia ziko kwenye makalio.
 
Kwahiyo hicho ndo kitega uchumi chake ☜☜☜☜♧


sijui angekuwa na papuchi nzuri ndo ingekuwaje!

Ila
Biashara ya Unga inalipa ! Aisee
 
Back
Top Bottom